Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nitapita linapokaaga ili nilirecord vizuriSiku fanya utuwekeee voice record
View attachment 2496458
Pichaa hiyo
Mashabiki wa UMUGHAKA ndio huchekaga hiviView attachment 2496458
Pichaa hiyo
Mkuu unavyosema kweli hilo ni li generator hahahNgoja nitapita linapokaaga ili nilirecord vizuri
Daah๐๐Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka
Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu
Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe tumbili si tumbili mbaya zaidi awe anavutia kicheko yaani anatanua mdomo sauti haitoki ila katikati sasa kakkakakakakakakkakakakak
Heee tubadilike tu smile tu kamzungu
Niahyo tu
TUOE
JENGA FAMILIA
Sema mkuu hiyo dp yako hiyo anawafanya watu wacheke na koromeo huku wametanua midomo usikuDaah๐๐
We umeelewa ulichoandika?Acha mtu ajiachie kama ananuk mdomo au meno ya meoza na mengo wajuane mapemA
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTumefikiwa sasaMashabiki wa UMUGHAKA ndio huchekaga hivi
Nafurahi umeona nenda ukawape taarifa na wenzako๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃTumefikiwa sasa
Mnanitafutaga wenyewe hukuitwa kuchangia nenda ukatikise makalio insta kiroboto weweInavoonekana ww wazungu wanaweza awakakutoboa spika maana inaonekana unawapenda sana
Eh hii ya leo kali, mpaka style za kucheka pia tunafundishwa humu kwenye jf!Moja ya tabia mbaya zaidi ni pale unakutana na mwanadada au kaka alafu mkapiga story mara akaanza kucheka
Uwiii domo limepanuliwa kama kiboko mbaya unaona koo, kimeo mpk matundu ya pua meno yooye mpaka unataka kusema si mdomo utachanika huu
Sura inabadilika nyani si nyani sokwe si sokwe tumbili si tumbili mbaya zaidi awe anavutia kicheko yaani anatanua mdomo sauti haitoki ila katikati sasa kakkakakakakakakkakakakak
Heee tubadilike tu smile tu kamzungu
Niahyo tu
TUOE
JENGA FAMILIA
๐๐๐ Inabidi maana kunawatu wanacheka kama engine za pikipiki baiskeliEh hii ya leo kali, mpaka style za kucheka pia tunafundishwa humu kwenye jf!
๐๐๐๐ Sema ukweli uje ubambiwe na wazunguMnanitafutaga wenyewe hukuitwa kuchangia nenda ukatikise makalio insta kiroboto wewe
Ule mdomo Gb8๐๐๐ Ukute mdomo kama wa azizikii wa Yanga
๐๐๐๐ค Simo mimiUle mdomo Gb8