Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

Mkuu hebu fafanua hii ikiwezekana uisindikize hata na kapicha ya srii d ili wazee waendelee kuongeza ujuzi, maana inaonekana hii ni salama kwasababu haijatajwa.
Hiyo 69 kwenye round ya sita na tisa ni vichwa hivyo, Haya umiza fuvu mkuu!
Hapo ni mwendo wa kupiga deki na kula Koni tu!
 
mogongo wazi na mdomo wazi watoto inatakuwa inatokana na kutungishwa mimba wanawake Kwa staili nje ya kifo Cha mende au hapana endapo ni Dr tujibu hilo
Sio kweli
 
Naunga Mkono Oja Mkuu
 
Usisahau position ya K ndio itaamua style.
Kuna za juujuu karibu na kitovu
Kuna zingine uvunguni na uvunguni zaidi.
 
Chai
 
Mkuu kuna hii moja yenyewe unaiweka kundi gani.yaani unalala nyuma ya mgongo wa Ke the unaingiza AF unamkumbatia hio nayo NI ya kishetani??
Hiyo ni kishetani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…