Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

Hiyo style ya kifo cha mende waachiwe wamama labour wanapojifungua
 

Attachments

  • images.png
    images.png
    17.2 KB · Views: 43
  • images (1).png
    images (1).png
    4.3 KB · Views: 46
Napendekeza huyu mleta mada akamatwe haraka sana. yani mtu unaanzaje kukataza doggy style? ili iweje? kwa manufaa ya nani?
 
Kibaolojia, kiimani na kimaumbile, mwanaume na mwanamke wameumbwa kufanyiana tendo la ndoa kwa mtindo mmoja tu—mkao wa kawaida (kifo cha mende). Ndio mkao sahihi na salama kiafya, kitabia na kiimani.

1. Mkao Mwingine (Dog Style)

Mkao huu umethibitika kuwa na madhara, hasa kwa wanawake. Huathiri mfumo wa uzazi na hata njia ya haja kubwa. Tafiti nyingi zimeeleza madhara yake ya muda mrefu kwa afya ya wanawake.

2. Mwanamke Kupanda Juu ya Mwanaume (Riding)

Ingawa wengine huona kama ni burudani, mkao huu ni hatari kwa wanaume. Unaweza kusababisha msukumo mbaya kwa mishipa na misuli ya uume, hali inayoweza kupelekea matatizo ya tezi dume, majeraha na hata kuvunjika kwa uume.

3. Kunyonya Sehemu za Siri (Oral Sex)

Sehemu za siri hazikuumbwa kwa ajili ya kunyonywa. Kufanya hivyo huathiri viungo hivyo moja kwa moja, huongeza uwezekano wa kupata maradhi hatari kama saratani, na pia huchukuliwa kama kitendo kisichokubaliana na maadili na imani.



Athari za Kijamii na Kimaadili

Mila, dini na maumbile hufundisha kwamba kuepuka mitindo isiyo ya kawaida ni muhimu. Tabia hizi ndizo zinazochochea kuenea kwa vitendo kama ushoga, usagaji na ukahaba. Hali hii huleta madhara ya kimaadili, mikosi na kuvuruga jamii.
Sasa kama ulikuwa unakunama unafanya mapenzi kama mbwa unadhani utazaa malaika au utazaa matatizo Kwa jamii


Hitimisho

Kuwa makini.
Si kila mtindo wa ngono ni sahihi au salama. Mkao wa kawaida pekee ndio mkao wa kimaumbile, kiafya na kiimani.
Huu ni ukweli ambao mara nyingi hausisemwi wazi.
We umetoa wapi maneno hayo,je vitabu vya mungu vinasemaje??, Tupe maandiko,mi nijuavyo kisichofaa ni uko kulamba na kuingiza kusiko takiwa,baasi.
 
Back
Top Bottom