Style ya kufanya tendo la ndoa ni Moja tu, hizo nyingine ni kujitafutia matatizo

Hiyo style ya kifo cha mende waachiwe wamama labour wanapojifungua
 
Napendekeza huyu mleta mada akamatwe haraka sana. yani mtu unaanzaje kukataza doggy style? ili iweje? kwa manufaa ya nani?
 
We umetoa wapi maneno hayo,je vitabu vya mungu vinasemaje??, Tupe maandiko,mi nijuavyo kisichofaa ni uko kulamba na kuingiza kusiko takiwa,baasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…