Sua is not an eaSy thing..!!

Sua is not an eaSy thing..!!

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Kweli nimeamini ule msemo wa ndugu na jamaa wa kitaani..!! "SUA IS NOT AN EASY AN EASY THING ".... due to the following reason

- Lecture 1 full masaa 4 Yaliyoshiba..hakuna hata muda wa kunywa chai au hata kula chakula cha mchana...Yaani ngoma mpaka saa 1:30 usiku
-Handout ya masaa 4 au kwa jina lingine dessa kwa wale ndugu zangu wa udzm.. Imeshiba kitu notice over Biological science...
-Hapo bado kitu cha assignment..na kuandika report za practical...at the same time bado hujakaa chini na kuanza kupitiapitia notice..< Kumeza >

Kweli Elimu Ya chuo nah Bata ni ful ku hustle...
 
Ww ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.
 
kijana una uhakika na unachokiongea..
 
Ww ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.
google acha uongo sua noooma nimemaliza 2006 napajua
 
Pass mark sasa hivi ni 40% sisi tumesnzia 50%. Ww unaongelea ya 2006 SUA ni kawaida sana afu sasa hivi kuna hadi 4th attempt.
 
Acha uongo mkuu,lecture gani ya masaa manne hyo?
 
Pass mark sasa hivi ni 40% sisi tumesnzia 50%. Ww unaongelea ya 2006 SUA ni kawaida sana afu sasa hivi kuna hadi 4th attempt.

nani kaxema pass mark ni asilimia 40..nadhani wewe unaongelea sua ya muccobs..kwa taarifa Yako hapa ngoma ni 50%
 
Kweli nimeamini ule msemo wa ndugu na jamaa wa kitaani..!! "SUA IS NOT AN EASY AN EASY THING ".... due to the following reason

- Lecture 1 full masaa 4 Yaliyoshiba..hakuna hata muda wa kunywa chai au hata kula chakula cha mchana...Yaani ngoma mpaka saa 1:30 usiku
-Handout ya masaa 4 au kwa jina lingine dessa kwa wale ndugu zangu wa udzm.. Imeshiba kitu notice over Biological science...
-Hapo bado kitu cha assignment..na kuandika report za practical...at the same time bado hujakaa chini na kuanza kupitiapitia notice..< Kumeza >

Kweli Elimu Ya chuo nah Bata ni ful ku hustle...[/QU
RATIBA YA HAPA KIUKWELI IMEBANA SANA
 
Yah its true, then so wat!!!

Dah! yani hata mimi sijamuelewa, ni mfano unasifia au kuelezea tairi la gari linavyoweza kuzunguruka kwa kasi, wakati ndio kazi yake. umekwenda SUA kusoma so do it...
 
Tatizo mnaponda 2 lakn ukweli ndo huo!!asa wa2 wacongee au!!!BIG UP ZE DUDUZ!!!wacha 2pige msuli na haliwi m2 kichwa apa!!!
 
Ww ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.

Acha uongo aisee labda uniambie unasoma LITI ila SUA hasa BVM kwenda disco yataka moyo sisi wote ndo watoto wa hukohuko ila what you are saying napingana nawe kwa % 100
 
Hakuna lolote kama shule ngumu unapata wapi muda wa kukaa JF?Tatizo lenu mnataka kufanya vyuo vingine wapo picnick hivi.
 
Acha uongo aisee labda uniambie unasoma LITI ila SUA hasa BVM kwenda disco yataka moyo sisi wote ndo watoto wa hukohuko ila what you are saying napingana nawe kwa % 100

mwambie Huyo jamaa..nahisi haifahamu BVM...
 
SUA ya leo ni laini sana ....... vijana mnalalamika bure wenzenu tuligoma cku 8 mfululizo ili sheria ya mitihani 12.6 ibadilishwe...leo SUA hakuna PS 100 imevunjwavunjwa hadi basi ungekuja SUA enzi za akina Mr Mkoma nadhani ungeliwa kichwa 1st semmester ....komaa dogo ndo shule hiyo
 
aisee si mchezo ila ndo mwanzo,ndo university hiyo you are no longer at Advanced level so funga mkanda.Hilo nao litapita
 
Back
Top Bottom