Sua is not an eaSy thing..!!

Sua is not an eaSy thing..!!

ze dudu ..komaa kiukweli nyie watu wa BVM mna kaazi hasa mnapoanza first year...nakumbuka wakat nko first year kuna jamaa anaitwa kitundu yuko BVM 2nd year alikuwa hanyoi hata ndevu yaaan msuli wake ni balaaa...komaa mwana sisi wa engineering mambo magumu bt tunakomaa

hahahahah daah jamaa yuko rough..mbaYa...ila vitu anavyokunywa mbna utasanda...mm mwenyewe nataka nianze fuga nywele
 
Pole sana kijana!Ni nani huyo anayewakandamiza masaa ma 4, mama Pereka nini? Ndiyo hivyo bila kukomaa SUA utaishia kuliwa kichwa. Nakumbuka kipindi hicho sie tunasoma kuna lecturer alikuwa anakamua masaa 8 ila yeye alikuwa ni part time kutoka UCLAS! Hivyo hayo masaa ma4 mbona poa tu. Komaa kijana kumbuka umeaga kwenu kuwa unakwenda kusoma.

daah... kwa ss nina mazombii mawili sijuii yatachomoka salama
 
Kiukweli SUA sio Masihara inatesa sana,but ukimaliza unaenjoy sana kwani unakuwa deep kuliko vyuo vyote TZ.Ushaidi hata hapo ofisini kwako linganisha uchapaji kazi na ufanisi wa wanafunzi wa field practical kutoka Sua na vyuo vingine,hapo ndipo utapata ukweli kwamba Sua ni shule Zaidi.
Chema chajiuza, kibaya..............................
 
kwani raisi ndo nani mpaka asiliwe.. Kinachotakiwa msuli na juhudi zenye malengo.. via The Chronic is Back
 
Back
Top Bottom