Kweli nimeamini ule msemo wa ndugu na jamaa wa kitaani..!! "SUA IS NOT AN EASY AN EASY THING ".... due to the following reason
- Lecture 1 full masaa 4 Yaliyoshiba..hakuna hata muda wa kunywa chai au hata kula chakula cha mchana...Yaani ngoma mpaka saa 1:30 usiku
-Handout ya masaa 4 au kwa jina lingine dessa kwa wale ndugu zangu wa udzm.. Imeshiba kitu notice over Biological science...
-Hapo bado kitu cha assignment..na kuandika report za practical...at the same time bado hujakaa chini na kuanza kupitiapitia notice..< Kumeza >
Kweli Elimu Ya chuo nah Bata ni ful ku hustle...
google acha uongo sua noooma nimemaliza 2006 napajuaWw ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.
kijana una uhakika na unachokiongea..
google acha uongo sua noooma nimemaliza 2006 napajua
Pass mark sasa hivi ni 40% sisi tumesnzia 50%. Ww unaongelea ya 2006 SUA ni kawaida sana afu sasa hivi kuna hadi 4th attempt.
Kweli nimeamini ule msemo wa ndugu na jamaa wa kitaani..!! "SUA IS NOT AN EASY AN EASY THING ".... due to the following reason
- Lecture 1 full masaa 4 Yaliyoshiba..hakuna hata muda wa kunywa chai au hata kula chakula cha mchana...Yaani ngoma mpaka saa 1:30 usiku
-Handout ya masaa 4 au kwa jina lingine dessa kwa wale ndugu zangu wa udzm.. Imeshiba kitu notice over Biological science...
-Hapo bado kitu cha assignment..na kuandika report za practical...at the same time bado hujakaa chini na kuanza kupitiapitia notice..< Kumeza >
Kweli Elimu Ya chuo nah Bata ni ful ku hustle...[/QU
RATIBA YA HAPA KIUKWELI IMEBANA SANA
Yah its true, then so wat!!!
Ww ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.