engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Ww ni muongo. Ratiba ya kozi gani hiyo? Unataka sifa hapa SUA ya kawaida sana. Mm nakula BVM hapahapa na club naenda km kawa mwaka wa tano huu.
hahahahahaha
usijidanganye mkuu,tulikuwa na rais anaitwa mlenge alikuwa BVM uliza kilichotokea,usidhani hawakuoni,mwisho wa siku utaeleza tu,ama hutokuja eleza hapa.
huyo jamaa anatakiwa kukomaa,hata shule za nje zipo hivyo,lecture baadhi ni masaa 4 hadi 6 na watu wanakomaa nazo hadi mwisho
SUA NA MUCCoBS WASTANI NI 50%, NA SIO 40%,SUA ya leo si ya 2011 hawaban kivile pass mark imeshuka kutoka 50 had 40% afu wakaweka na fourth attempt afu sis BVM tuna carry shule iko very smooth kama niko sec vile.
wewee sua sio udsm wastani 40%, wastani wa chini sana huoacha uongo mkuu,lecture gani ya masaa manne hyo?
<br />By GOOGLE<br />
SUA ya leo si ya 2011 hawaban kivile pass mark imeshuka kutoka 50 had 40% afu wakaweka na fourth attempt afu sis BVM tuna carry shule iko very smooth kama niko sec vile.
SUA NA MUCCoBS WASTANI NI 50%, NA SIO 40%,
kweli wewe ni simplemind,,hata uwezo wa kufikiri pia upo simple....sasa kijana huamini au??? mbona povu jingi....njoo hapa eng department uone... kipindi kifup ni 3hrs na hivyo vya 4hrs ni kawaida sana...acha kubisha mambo usiyoyajua uliza upewe msaada na sio ku-ro-po-ka!!!!!Duh! Hata crash course haina intensty ya 4 hour lectures. Kajipange, to be believable lies should more less be commensurate with truth kijana.
Ndio maana mnamaliza chuo mkiwa weupe! Lecture ya saa 4 huishia kutoeleweka na wapokeji kukelimisha! Impact yake huishia kwa jamii. Kilimo na ufugaji hakuonyeshi mabadiliko kwani wahitimu ni vilaza walikuwa wanapewa lecture kwa saa 4. Kwenye vyuo vya kisasa wanafunzi huandaa presentations kwa msaada wa lecturer au supervisor na kisha kufanya presentation yao na wanafunzi kukosoana na kurebishana kwa mawazo tofauti ya kisomi! Hii humfanya kila mwanafunzi kushiriki na hata alama za hiyo unayoita assignment hutokana na ushiriki hata kama darasa lina wanafunzi 3at the end of presentation, lecture au proffesor hutoa hitimisho kwa maada au topic nzima! Hii haimfanyi mwanafunzi kukelimishwa ila aelewe na kuzidi kudadisi au kutafiti zaidi. Elewa chuo kikuu ni sehemu ya kutafiti sio kusubiri kupewa! Muda wote hapo sua mnaangaika kuphotocopy lecture hand outs na vipamphlets vilivyotengenezwa namalecturer wenu badala ya kununua vitabu na kusoma. Pia siku hizi source ya materials ni kubwa kutokana na internet. Msiwe wahitimu wa past papers bana! Mtihani upo huku uswaz.
Lecture 4 hours Sua mbona kawaida? Nakumbuka lecturer wetu alifungua slide 76 ndani ya kipindi kimoja hadi akasinzia akiwa ubaoni! Sua kuna masomo ya ajabu yenye lecture nzito!! maranyingi utakuta hizo lecture zimeunganishwa vipindi lakini sio utaratibu! Mfano, badala ya kwenda practical ya 4hrs unakuta mwalimu kaamua kufundisha! somo mfano Wa biochemistry kitu cha carbohydrate!! Balaaa!!