British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
Hapo mahali ukiishi kwa woga unadisco fasta, mie nmemaliza hapo nmekutana na hayo uyasemayo ila nilikuwa nnafanya nnachokiamini, sikuwahi nunua kitu kwa shuruti hata siku moja, hata kama huyo lecturer amesema atashika watu 150 sio lazima uwe wewe, kunawatu wanamaliza hapo kwenye hiyo kozi yako, ukiamini kushikwa utashikwa na mwishowe kudisco kabisa, komaa that is the rule.
Sasa ndio umeandika kitu gani hapa?? Wewe upo chuo kikuu?? Mbona hueleweki. Halafu unasema lecturers wanawakamata. Vilaza!!!
wee dogo nyanya zimekaa kama NECTA? Kumbe nyepesi maana necta za elimu ya kibongo mwisho form 6. kwa paper za level of form 6 zinakushinda. acha ulalamishi
Inafikia muda
unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia
stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa
kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment
hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo
huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is
university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz
wadau liangalieni hili
uyu watamla kichwa ngoja babu atasema nae!dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia
piga shule bwana mdogo ulidhani SUA lelemama.....kama unataka mteremko nenda UDOM au IFM
Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz wadau liangalieni hili