Sua kwa hali hii hatufiki

Sua kwa hali hii hatufiki

British economist

Senior Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
104
Reaction score
14
Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz wadau liangalieni hili
 
Sasa ndio umeandika kitu gani hapa?? Wewe upo chuo kikuu?? Mbona hueleweki. Halafu unasema lecturers wanawakamata. Vilaza!!!

wee dogo nyanya zimekaa kama NECTA? Kumbe nyepesi maana necta za elimu ya kibongo mwisho form 6. kwa paper za level of form 6 zinakushinda. acha ulalamishi
 
Hapo mahali ukiishi kwa woga unadisco fasta, mie nmemaliza hapo nmekutana na hayo uyasemayo ila nilikuwa nnafanya nnachokiamini, sikuwahi nunua kitu kwa shuruti hata siku moja, hata kama huyo lecturer amesema atashika watu 150 sio lazima uwe wewe, kunawatu wanamaliza hapo kwenye hiyo kozi yako, ukiamini kushikwa utashikwa na mwishowe kudisco kabisa, komaa that is the rule.
 
Kaza buti dogo, Shule ya SUA si lelemama!!!!. Kama ungetaka ubwete unge-apply-IFM na vyuo vingine. SUA inafahamika na hata wenye nywele nyeupe.......acha mchezo dogo, kula kitabu kisawasawa.....

Hapo mahali ukiishi kwa woga unadisco fasta, mie nmemaliza hapo nmekutana na hayo uyasemayo ila nilikuwa nnafanya nnachokiamini, sikuwahi nunua kitu kwa shuruti hata siku moja, hata kama huyo lecturer amesema atashika watu 150 sio lazima uwe wewe, kunawatu wanamaliza hapo kwenye hiyo kozi yako, ukiamini kushikwa utashikwa na mwishowe kudisco kabisa, komaa that is the rule.
 
Natamani ungekuwa unasoma MTH kipindi cha SEMBUCHE ndo ungeweza kusema hayo.
Sasa hivi hakuna jipya hapo SUA ni presha zako tu.
 
Mwaka 1996 Prof. Minja "ALIMSHIKA" mwanawe mwenyewe wa kuzaa anaitwa Mac na ikabidi arudie mwaka. Sasa hivi cha mtoto tu, ila wanaua sana elimu. Ulizia Dr. Kajuna STAR(RIP) alikua ni nani utaambiwa!
 
Kuna lecturer mmoja anajiita MAHAMUD HAMAD hana zuri hata siku moja alidai usiponunua COMPENDIUM YAKE anakushika tumefanya ivo .....again tumepig test jamaa harudishi alafu at the end 150 kadai lazima aondoke Nao.
 
Sasa ndio umeandika kitu gani hapa?? Wewe upo chuo kikuu?? Mbona hueleweki. Halafu unasema lecturers wanawakamata. Vilaza!!!

Kuna mwenzenu alisha sema Sua ni chuo kikuu kizuri katika taaluma akikinanga Udom sasa hizo changamoto zimetoka wapi? Komaeni mpate GPA kali, si chuo bora bwana.
 
wee dogo nyanya zimekaa kama NECTA? Kumbe nyepesi maana necta za elimu ya kibongo mwisho form 6. kwa paper za level of form 6 zinakushinda. acha ulalamishi

Kumbe Necta kwa Tanzania mwisho form six? BASI vyuo vya Diploma wanafanya mitihani ya wapi? GRADE A Wanatungiwa na VETA? HUENDA nilisoma elimu feki maana ninavyo juwa mimi Form 4, Form 2, Form Six, Cheti na Diploma wako NECTA au NACTE. Sasa sijui ndio Div 5 inanisumbua?
 
Dogo SUA kuna shule kaza buti vinginevyo yatakukuta
 
kwa hali ilivo sasa msimshangae sana huyo dogo, wanachuo wengi siku hizi wanataka miteremko tu. hoja zake zote hazina mashko. Mfano kuhusu kununua kitabu kwangu naona ni lazima kwa kuwa kitabu chake ni 'trusted source' chuoni hakuna 'nyambari nyangwine' someni vijana! nimetoka hapo sua na GPA kubwa tu japo enzi hzo nilkuwa nasoma huku nafanya ujasiliamali.
 
bila shaka utakuwa mwaka wa kwanza ndo maana umepost hii mada isiyo na msingi.na unapata wapi mda wa kuandika haya mambo yako hapa.kwani nyie ndo wa kwanza kufundishwa na huyo mwalimu au nyie ndo wa kwanza kufanya UE hapo SUA.ebu acha izo bana nenda kasome usije ukarudi mazimbu conference
 
Inafikia muda
unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia
stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa
kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment
hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo
huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is
university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz
wadau liangalieni hili

dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia
 
piga shule bwana mdogo ulidhani SUA lelemama.....kama unataka mteremko nenda UDOM au IFM
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia
uyu watamla kichwa ngoja babu atasema nae!
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia

Ila kweli wakijua umepost hii kitu wanakula kichwa, hv yule raisi walie mdisco amerudi maana nlisikia ameapeal.
 
piga shule bwana mdogo ulidhani SUA lelemama.....kama unataka mteremko nenda UDOM au IFM

Hapo mahali ni balaa, mwakajana walimdisco presdaa cjui karudi au vp maana nlisikia amekata rufaa.
 
Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz wadau liangalieni hili

Kwan ela ya loan board 200,000 ya stationary umepeka wapi?? Au ulienda nunua smatifone ukasaau kununua kitabu!!!
 
Back
Top Bottom