Sua kwa hali hii hatufiki

Sua kwa hali hii hatufiki

Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz wadau liangalieni hili

hahaha!dogooo.,mahmudy anawatoen jasho.usihanye sn kuna kaka zako waliingia na course work ndg na wakatoka!hii ndo sua..lazma utiwe jambajamba kdg!
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia

napigia mstar kwa mama isinika mkuu,nomaaaa!coz wek znahang juujuu ka ushuz af dg analalamika kwa mahmud!
 
Inafikia muda unaweza ukazimia kabisa .. ..sasa ue za sua zimekaa kama necta inafikia stage swali moja linakua na 40marks the rest pia yamekazwa mr Marwa kokote ulipo ujumbe wako huu.
Kuna lecturer mwingine course work hatuzijui,test wala asignment hajarudisha alafu anadai ,lazima ashike watu 150 ebu angalieni.....huyo huyo katuuzia vitabu under constant threat usiponunua alisema ``this is university if you will not purchase i will treat you in a fair way` plz wadau liangalieni hili

teh teh teh, huyo bila shaka atakuwa mwalimu HELLA, huyu professor ana roho mbaya sana!
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia

aisee nimemkumbuka huyo Dr Ndyetabula.......bado anakamata sana hapo SUA?
 
uyu watamla kichwa ngoja babu atasema nae!

alaf huyu dogo hasomi hata almanac kwamba mwez wa tisa kuna mkutano mkubwa na wahudhuriaji wanahitajika... anahanya mapema sana alaf bado ue haijaisha.. hashangai kwann sua hamna president!... hahah
 
AMA KWELI WOGA WAKO NDO
UMASIKINI WAKO. DOGO INAONEKANA BADO UNA MAWAZO YA KINYUMBANI NYUMBANI
PAMOJA NA KWAMBA UPO UNASOMA AEA FIRST/SECOND YEAR MAANA HUYO JAMAA
(M.H.) NAKUMBUKA NDO LEVEL ALIZOKUWA ANAFUNDISHA ENZI HIZO SIJUI SIKU
HIZI. SUALA LA KUNUNUA COMPENDIUM NA KUTISHIWA KUKAMATWA SIDHANI KAMA NI
TATIZO BALI TATIZO NI NAMNA UNAVYOLITAZAMA WEWE NA MAWAZO YAKO
YANAKUPELEKA WAPI. NIMETOKA HAPO LAST YEAR NA KAMA NI KUTISHIWA HUYO
JAMAA ALITUTISHA SANA SIKU YA KWANZA KUKUTANA NAE TUKIWA FIRST YEAR
LAKINI PAMOJA NA HAYO HAKUNA KILICHOHARIBIKA. UNALALAMIKA KUHUSU
COMPENDIUM YA SH. 2500-5000 NA BADO UKO HAPO NA HELA YA STATIONARY
UNAYO, JE UKIFIKA THIRD YEAR KWENYE SP UTAFANYAJE? AU UKIKUTANA NA PROF.
FEDHA (2ND-3RD YEAR) SI NDO UTAKIMBIA KABISA? AU UMEPATA SIMBI NDO
MAANA HUTAKI KUNUNUA? DOGO KOMAA NA KITABU, UKIKALIA KUMWAZA MH
UTAKAMATWA KWELI NA MWISHO NI KUDISCO. Kutishiwa utatishiwa na ukienenda
kwa mtazamo huo shule utaikimbia hasa ukifika 2nd na 3rd year ambapo
kwa 99.9% utakutana na ma Dr na Profs.

huyu dogo ni frst yr,,, nandonde alirusha kamba kwa marwa wa business law awafundishe business communication... sasa huyu dogo hajazoea mikikimikiki ya sua...
 
Back
Top Bottom