Sua kwa hali hii hatufiki


hahaha!dogooo.,mahmudy anawatoen jasho.usihanye sn kuna kaka zako waliingia na course work ndg na wakatoka!hii ndo sua..lazma utiwe jambajamba kdg!
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia

napigia mstar kwa mama isinika mkuu,nomaaaa!coz wek znahang juujuu ka ushuz af dg analalamika kwa mahmud!
 

teh teh teh, huyo bila shaka atakuwa mwalimu HELLA, huyu professor ana roho mbaya sana!
 
dogo soma... ndo kwanza uko 1st yr.. hujakutana na watu kama Dr. dyetabula, prof. mdoe, prof. isinika... utapotezwa kulalamika huku jf hakutakusaidia

aisee nimemkumbuka huyo Dr Ndyetabula.......bado anakamata sana hapo SUA?
 
uyu watamla kichwa ngoja babu atasema nae!

alaf huyu dogo hasomi hata almanac kwamba mwez wa tisa kuna mkutano mkubwa na wahudhuriaji wanahitajika... anahanya mapema sana alaf bado ue haijaisha.. hashangai kwann sua hamna president!... hahah
 

huyu dogo ni frst yr,,, nandonde alirusha kamba kwa marwa wa business law awafundishe business communication... sasa huyu dogo hajazoea mikikimikiki ya sua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…