SUA KwELI MAJANGA

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Tar 30 test,31 presentation,tar 1 kuna prac,dah najuta kuijua SUA.
 
una matatizo yako binafsi. Watu wana test 2 ndan ya sk 1 na presentation kibao na bado wanapga vzuri. Mbona unapanik kiivyo! Komaa kijana. Onesha kuwa hukufaulu kimagumashi. Kaza msuli.
 
yani dogo unanikera ujue....we unazani ww peke yako ndo umebanwa hivyo...ebu acha ulimbukeni piga buku au acha shule...ctaki tu kupigwa ban mana ningekuporomoshea hapa.
 
tatizo si test mbili in a day,angalia test hzo zimeangukia siku gani bwanah,watu wanashangilia happy new year,wewe unaungua.
 
kuna siku utanijua kaka,narudi nipo road natoka moshi.
 
haya ni mambo ya kawaida katika kusoma!
 
Hivi lugano5 umetumwa na kijiji nini? Naona uko limbukeni na maisha ya shule kama wewe ndio wa kwanza kuingia shule. Ushamba umekuzidi. Tena ID yako ina asili ya mkoa ambao si washamba wa shule. Soma shule bwana mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Dogo Lugano5, unabahati sana wewe sio katika madarasa yangu.... lazima ningekukamata tu hata upate supu (supp) moja maana kwa kulia upo juu sana! Ila kama shule ni ngumu tafuta unachokiweza zaidi dogo
 
tatizo si test mbili in a day,angalia test hzo zimeangukia siku gani bwanah,watu wanashangilia happy new year,wewe unaungua.
  • Hapo ndipo unakosea.
  • Tusiishi kwa kufuata matukio
 
Hivi lugano5 umetumwa na kijiji nini? Naona uko limbukeni na maisha ya shule kama wewe ndio wa kwanza kuingia shule. Ushamba umekuzidi. Tena ID yako ina asili ya mkoa ambao si washamba wa shule. Soma shule bwana mdogo.

kama huna cha kukoment,bora upite tu.
 
Last edited by a moderator:
Moderators kuna posts huku ziwe zinaondolewa. Kuna watu wanaweka post zao kama status updates za facebook au Twitter. Ni kujaza saver tu.

huna cha kucoment,potezea
 
Ulikua ume panga kufanya nn Mdogo wangu cku hizo mpaka utushirikishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…