Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tar 30 test,31 presentation,tar 1 kuna prac,dah najuta kuijua SUA.
una matatizo yako binafsi. Watu wana test 2 ndan ya sk 1 na presentation kibao na bado wanapga vzuri. Mbona unapanik kiivyo! Komaa kijana. Onesha kuwa hukufaulu kimagumashi. Kaza msuli.
yani dogo unanikera ujue....we unazani ww peke yako ndo umebanwa hivyo...ebu acha ulimbukeni piga buku au acha shule...ctaki tu kupigwa ban mana ningekuporomoshea hapa.
Mkuu mbona badiko lako halina uhusiano na ulichokinukuu?kuna siku utanijua kaka,narudi nipo road natoka moshi.
Mkuu mbona badiko lako halina uhusiano na ulichokinukuu?
tatizo si test mbili in a day,angalia test hzo zimeangukia siku gani bwanah,watu wanashangilia happy new year,wewe unaungua.
Hivi lugano5 umetumwa na kijiji nini? Naona uko limbukeni na maisha ya shule kama wewe ndio wa kwanza kuingia shule. Ushamba umekuzidi. Tena ID yako ina asili ya mkoa ambao si washamba wa shule. Soma shule bwana mdogo.
- Hapo ndipo unakosea.
- Tusiishi kwa kufuata matukio
Moderators kuna posts huku ziwe zinaondolewa. Kuna watu wanaweka post zao kama status updates za facebook au Twitter. Ni kujaza saver tu.kama huna cha kukoment,bora upite tu.
Moderators kuna posts huku ziwe zinaondolewa. Kuna watu wanaweka post zao kama status updates za facebook au Twitter. Ni kujaza saver tu.
Tar 30 test,31 presentation,tar 1 kuna prac,dah najuta kuijua SUA.
Siwezi kuchukia wala kulalamika kwa chochote utakachofani kwani najua naongea na mtu wa namna gani!pole sana mkuu!,usiniudhi ili usije nilaumu.