Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina makubwa kama manchester united,barcelona,real madrid,chelsea nk..ndivyo ilivyo kwa chuo kikuu cha kilimo cha sokoine,kwani pamoja na ukongwe wake{ikumbukwe sua ndo chuo cha pili kuanzishwa hapa tz baada ya udsm}lakni chuo hki sio maarufu miongoni mwa watu hapa tanzania kama vilivyo vyuo ambavyo vilianzishwa baada ya sua,mfano mzumbe,ifm,muhimbili,ardhi na udom..
HIVI NA WEWE UNASOMA CHUO KIKUU??? lazima ifikie point wa tz tubadilike!!! nchi au baba ako ameingia gharama za kutosha kukupeleka chuo lakini bado una mawazo ya kitoto mno!!!! uko UDSM hilo halina ubishi,sasa ya SUA yamekutokea wapi? je ni umaarufu gani unaoutaka wewe?? je wakujiuza kwa 500/=,au usharo? je umarufu gani hasa??? we unaifahamu vipi SUA?? INANISHANGAZA SANA KUONA MSOMI KAMA WEWE TENA MWANA UCHUMI MTARAJIWA UNAKUA KILAZA NAMNA HII!!! bado muda unao badili mawazo!! mimi ni mwana-SUA sijafundishwa na ma-prof kubishana watu ambao hawajitambui kama wewe..nnapata wasi wasi sana na elimu unayoipata hapo UDSM!! by the way your warmly welcum at SUA, centre of excellence!!Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina makubwa kama manchester united,barcelona,real madrid,chelsea nk..ndivyo ilivyo kwa chuo kikuu cha kilimo cha sokoine,kwani pamoja na ukongwe wake{ikumbukwe sua ndo chuo cha pili kuanzishwa hapa tz baada ya udsm}lakni chuo hki sio maarufu miongoni mwa watu hapa tanzania kama vilivyo vyuo ambavyo vilianzishwa baada ya sua,mfano mzumbe,ifm,muhimbili,ardhi na udom..
sua is da best place to be.. Ukichomoa udzm hakuna wa kuifikia sua
unakaribishwa pia pande za SUA!! hujachelewa!!hahahahaahahahah Sie sind ein Schwachsinn, die auf der Straße verloren, aber nicht jetzt where.and weiß nicht, was Ihr in dieser Welt zu tun
unaonaje ungekwenda kwenye jukwaa la siasa, coz ndio maeneo yenu ya kuongea mawazo ya sanaa.no new.....
unakaribishwa pia pande za sua!! Hujachelewa!!
PhD ZIPO ZA KUMWAGA MKUU!! SIZANI KAMA UTAKUA NA VIGEZO VYA KUJA KUZISOMA!!!sua nije kusoma nini pale labda elimu zake nshamaliza zote usinirudishe nyuma ONGELEA PHD NA DOCTRINE
phd zipo za kumwaga mkuu!! Sizani kama utakua na vigezo vya kuja kuzisoma!!!
HIVI NA WEWE UNASOMA CHUO KIKUU??? lazima ifikie point wa tz tubadilike!!! nchi au baba ako ameingia gharama za kutosha kukupeleka chuo lakini bado una mawazo ya kitoto mno!!!! uko UDSM hilo halina ubishi,sasa ya SUA yamekutokea wapi? je ni umaarufu gani unaoutaka wewe?? je wakujiuza kwa 500/=,au usharo? je umarufu gani hasa??? we unaifahamu vipi SUA?? INANISHANGAZA SANA KUONA MSOMI KAMA WEWE TENA MWANA UCHUMI MTARAJIWA UNAKUA KILAZA NAMNA HII!!! bado muda unao badili mawazo!! mimi ni mwana-SUA sijafundishwa na ma-prof kubishana watu ambao hawajitambui kama wewe..nnapata wasi wasi sana na elimu unayoipata hapo UDSM!! by the way your warmly welcum at SUA, centre of excellence!!
afu we dogo unapenda kulazimisha ligi na mimi sana,kama ckosei uliwahi kunisababishia ban kipindi flani hvi.we endelea kusoma hayo mamizizi hapo sua kama mganga wa kienyeji afu ukimaliza ndio unitafute..kubali au kataa ni juu yako mwenyewe..wanafunz wengi wanaomaliza form 6 kwa comb za pcb na pcm,wengi huwa wanandoto za kutinga muhimbili au coet,lakini ndoto zao zinapofifia ndo wanaanza kuangalia options nyingne ikiwemo sua..kwan we mwenyewe si una 3.17 uongo?
Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina makubwa kama manchester united,barcelona,real madrid,chelsea nk..ndivyo ilivyo kwa chuo kikuu cha kilimo cha sokoine,kwani pamoja na ukongwe wake{ikumbukwe sua ndo chuo cha pili kuanzishwa hapa tz baada ya udsm}lakni chuo hki sio maarufu miongoni mwa watu hapa tanzania kama vilivyo vyuo ambavyo vilianzishwa baada ya sua,mfano mzumbe,ifm,muhimbili,ardhi na udom..
Umenichekesha sana kijana!!! BAN ulipata kutokana na ujinga wako na kamwe ntawapongeza MODs kwa hilo!! mbona mimi nimemaliza form6 na nikataman kwanda SUA!! sina muda wa kupoteza na kuanza ligi na mtu kama wewe,jitambue kwanza!! jua siwezi kuona unaandika u***nkaacha kukuelimisha na sio kwako tu hata kwa wengine...unataka jua nna ngapi? hata nkikwambia hutaweza niamini,afu ongeza bidii hapo udsm unitafute nikuajiri kwenye kampuni yangu baada ya hiyo miaka 3!!afu we dogo unapenda kulazimisha ligi na mimi sana,kama ckosei uliwahi kunisababishia ban kipindi flani hvi.we endelea kusoma hayo mamizizi hapo sua kama mganga wa kienyeji afu ukimaliza ndio unitafute..kubali au kataa ni juu yako mwenyewe..wanafunz wengi wanaomaliza form 6 kwa comb za pcb na pcm,wengi huwa wanandoto za kutinga muhimbili au coet,lakini ndoto zao zinapofifia ndo wanaanza kuangalia options nyingne ikiwemo sua..kwan we mwenyewe si una 3.17 uongo?