Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Sua naifananisha na club kongwe nchni italia ya juventus,licha ya umri wake mkongwe,club hyo haina mafanikio makubwa na wala sio maarufu sana barani ulaya kama zilvyo club nyingne zenye majina makubwa kama manchester united,barcelona,real madrid,chelsea nk..ndivyo ilivyo kwa chuo kikuu cha kilimo cha sokoine,kwani pamoja na ukongwe wake{ikumbukwe sua ndo chuo cha pili kuanzishwa hapa tz baada ya udsm}lakni chuo hki sio maarufu miongoni mwa watu hapa tanzania kama vilivyo vyuo ambavyo vilianzishwa baada ya sua,mfano mzumbe,ifm,muhimbili,ardhi na udom..