Ukimwambia mtanzania kuwa kwa sasa Corona imeshamiri na inaua sana ndugu zetu bila kuwepo kwa taarifa kutoka kwenye mamlaka wanakwambia umetumwa na mabeberu.Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.
Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
Jina plz,asije akawa yule profesa aliekuwa anatusaidia vifaa vya coronaTaarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.
Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
Corona ipo. Yule jamaa yenu ana matatizo binafsi ndio maana havai barakoaTaarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.
Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?
Wewe mwenye kimbelembele siku ukifariki watakaoujua msiba wako ni watu kumi na watano tu hapo mtaani kwako na vikuku vinavyookoteza mabaki ya maandazi na mihogo mliyonywea chai.ni msiba kama misiba mingine... R.I.P Prof.
ni wewe wasema, kikubwa kuzikwa hayo mengine ni ya ziadaWewe mwenye kimbelembele siku ukifariki watakaoujua msiba wako ni watu kumi na watano tu hapo mtaani kwako na vikuku vinavyookoteza mabaki ya maandazi na mihogo mliyonywea chai.