Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

Tetesi: SUA: Prof Mstaafu afariki kwa tatizo la kushindwa kupumua! Ni Prof wa tatu kufariki ndani ya miezi miwili kwa tatizo kama hilo

uProfesa wenyewe Bongo unapatikana kwa njia za panya hasa miaka ya karibuni. SUA wanapeana kama njugu.
 
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.

Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?

Alisema Prof. Ndalichako hakuna mwanafunzi, mkufunzi wala mhadhiri aliyeambukizwa huu ugonjwa hadi wakati huo.

Uthubutu wa kuyasema hayo bila ya kuwapo na upimaji wowote unapatikana vipi?

Njaa hizi watu wamekubali kujitoa ufahamu wote.
 
Taarifa hizi nimezipata kwa rafiki wa karibu aliyeko SUA.

Sijawa na uhakika wa kutosha kuhusu chanzo hiki cha habari . Imenitia Uchungu kwa vile hawa walikuwa watu maarufu kitaaluma na waliotoa mchango kwa maendeleo ya uchumi nchini. Iweje taarifa zao zisisikike au kutangazwa na vyombo vikuu vya habari?

Alianza yule maza
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe mwenye kimbelembele siku ukifariki watakaoujua msiba wako ni watu kumi na watano tu hapo mtaani kwako na vikuku vinavyookoteza mabaki ya maandazi na mihogo mliyonywea chai.
Kuna watu wana vituko humu jf
 
Ukimwambia mtanzania kuwa kwa sasa Corona imeshamiri na inaua sana ndugu zetu bila kuwepo kwa taarifa kutoka kwenye mamlaka wanakwambia umetumwa na mabeberu.

Ugonjwa wa Corona kwa kipindi cha mwezi June umeongezeka sana nchini na unaleta maafa makubwa. Kwa makusudi wizara ya afya imeamua kufumba macho. Prof. Mabula Mchembe ni muongo aliyeletwa ndani ya wizara kwa kazi ya kuficha ukweli.
Kati ya hao waliokufa na korona serikali ikatuficha sisi raia wake je, alikuwemo baba yako, mkeo, mtoto wako au mama yako ambao uliwazika bila serikali kutangaza kuwa wamekufa kwa korona? Kama siyo hivyo lete ushahidi usiotia shaka kwamba huyu amekufa na korona na serikali haijatangaza. TUMECHOKA KULETEWA HABARI HABARI ZA UVUMI NA VITISHO VYA KIPUMBAVU.
 
uProfesa wenyewe Bongo unapatikana kwa njia za panya hasa miaka ya karibuni. SUA wanapeana kama njugu.
By the way prof anayeongelewa umewahi kumjua au hata kufuatilia research alizowahi kufanya, na mchango wake ktk sekta ya mifugo mpaka uwe na mashaka na uprofessor wake!??.

Tumia akili yako vizuri kufanya vitu vilivyo ndani ya uwezo wako.

Jana tumempumzisha Mama yetu prof. Abiliza E. Kimambo ktk nyumba yke ya milele.

Tumejifunza mengi kutoka kwake, na tutamkumbuka kwa mazuri mengi aliyofanya.

BWANA ALITOA BWANA AMETOA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
IMG-20200626-WA0027.jpg
 
Attachments

  • VID-20200629-WA0030.mp4
    1.5 MB
By the way prof anayeongelewa umewahi kumjua au hata kufuatilia research alizowahi kufanya, na mchango wake ktk sekta ya mifugo mpaka uwe na mashaka na uprofessor wake!??.

Tumia akili yako vizuri kufanya vitu vilivyo ndani ya uwezo wako.

Jana tumempumzisha Mama yetu prof. Abiliza E. Kimambo ktk nyumba yke ya milele.

Tumejifunza mengi kutoka kwake, na tutamkumbuka kwa mazuri mengi aliyofanya.

BWANA ALITOA BWANA AMETOA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.View attachment 1492924
It was a general statement aimed at the majority. Not any particular individual being.
She may have been an exception. May her soul rest in peace.
 
Wewe huoni uhusiano. Hadhi ya uProfesa inapaishwa sana Bongo.
Sasa angalia unapatikanaje!
Ukitaka kuasses greatness au exceptionallity ya mtu kama huyo,huna haja ya majungu. Ingia google hasa scholar utampata kirahisi.
 
Back
Top Bottom