Best Mzava
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 135
- 10
Dah jamani SUA ninahamu nayo mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aya sasa mkali wetu,,,hebu ona anavyofanya mambo...kitu cha SUA kiko wapi????
kaka mbona unacheka !!
<<< Ze duduz >>>
Umenchekesha ulivo mwambia neema hapo juu!
Jaman sua ndo nasubiri ud wamenitema nahc hata ardhi pia
ze duduz huna lolote...umefulia haha haaaa,,JIPANGE,,KAOGE
aaaah ze dudu u cant b serious men!!!uyo jamaa temana nae kwa upendo wa cc BVM wenzako ambao 2nasubir mpaka sasa 2nakata tamaa pls rudisha hacra achana nae yaweke bana leo umu jamvin pls sana Yaaan mpuuze 2!!!fanya ivo ze dudu!!!from BVM mwenzako!!pls reconsider!!!
kaka mbona unacheka !!
<<< Ze duduz >>>
Shukrani kaka' Naona una sifa zote za mademu wanaokaa line police kwa maneno yako ya kitoto uliyoyaandika hapo juu " Kwa taarifa Yako Mzigo nishaupata na nilikuwa nataka kesho asubuhi ni u-post humu jamvini ila kwa kuwa umeniudhi i dont think kama nita u-post humu ndani " !!
NOTE: Kijana ukitaka kujua Hasira za mbwa we jaribu kumshika sehemu za Siri !!