SUA SELECTION Vs Ze Duduz

SUA SELECTION Vs Ze Duduz

Ebwana kweli wa sua 2po wengi, jiwe la sua ukiwa nalo ni la ukweli, si la kitoto, kila siku naomba miujuza km sijachaguliwa pale jina lijifute ktk chuo kingine liwekwe sua.
 
ze duduz huna lolote...umefulia haha haaaa,,JIPANGE,,KAOGE
 
Shukrani kaka' Naona una sifa zote za mademu wanaokaa line police kwa maneno yako ya kitoto uliyoyaandika hapo juu " Kwa taarifa Yako Mzigo nishaupata na nilikuwa nataka kesho asubuhi ni u-post humu jamvini ila kwa kuwa umeniudhi i dont think kama nita u-post humu ndani " !!
NOTE: Kijana ukitaka kujua Hasira za mbwa we jaribu kumshika sehemu za Siri !!
 
aaaah ze dudu u cant b serious men!!!uyo jamaa temana nae kwa upendo wa cc BVM wenzako ambao 2nasubir mpaka sasa 2nakata tamaa pls rudisha hacra achana nae yaweke bana leo umu jamvin pls sana Yaaan mpuuze 2!!!fanya ivo ze dudu!!!from BVM mwenzako!!pls reconsider!!!
 
Vijana wangu mnaosubiri SUA mnafurahisha sana! bora likitoka muwepo
 
Dot com bana,huu uandishi wenu!!!! Sijui....
 
Dah!ze duduz fanya mambo banah achana na huyo mpumbavu mwana,kama vp tupia kitu cha BVM tujione mkuu.
 
Shukrani kaka' Naona una sifa zote za mademu wanaokaa line police kwa maneno yako ya kitoto uliyoyaandika hapo juu " Kwa taarifa Yako Mzigo nishaupata na nilikuwa nataka kesho asubuhi ni u-post humu jamvini ila kwa kuwa umeniudhi i dont think kama nita u-post humu ndani " !!
NOTE: Kijana ukitaka kujua Hasira za mbwa we jaribu kumshika sehemu za Siri !!

ze duduz naona leo wamekukamata ila kama vipi we c ufunguke 2 kijana kama mzigo unao
 
mnamtishia mbuzi na kisu butu msuli wa adv wa pcb na huo wa apooo sua be honest hupi mziki mziiito jamaniii
 
Back
Top Bottom