Sua sua sua sua sua mwaka wa rahaaaaaaaaaaa

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni wengi sana....ujumbe kwa madogo hasa wa kike,pale SUA kuna wahadhiri wanapenda chini sana kwahiyo acheni tabia ya kujipendekeza msipoangalia mtaliwa ovyo ovyo..karibuni sana madogo mm nangojea welcome first year nichukuwe mke wangu wa maisha mana kontena hili Mungu kaniotesha ya kuwa mke wangu yupo humu.....
 
So what?ujinga mtupu..na usipoangalia hapo sua watakutafuna kichwa!
 
Mkuu yani katika kukaa kwako kote umeona hili ndo jambo la Msingi la kuandika? mbona huitendei haki nafasi yako kama Mmoja wa Wasomi Elimu ya Juu,muda si mrefu utahitimu then utaajiriwa na utakua na familia yako,je,utaweza ku manage familia yako na kazi kwa ujumla kwa ideas za namna hii? badirika mkuu Japo si lazima ufate ushauri wangu ila ukweli ndo huo.
 
umeona ee!,..,ila wakumbushe kuna babu msuya dimbani
 
So what?ujinga mtupu..na usipoangalia hapo sua watakutafuna kichwa!
ah ah ah ha sasa hapo we ulichoandika ndo akili sio....hii mashine nyingine aliwi mtu kichwa pale...umeckia we boya...ucnitafutie ban mbutukuna(nitafute nikuambie maana yake)....
 
Mkuu yani katika kukaa kwako kote umeona hili ndo jambo la Msingi la kuandika? mbona huitendei haki nafasi yako kama Mmoja wa Wasomi Elimu ya Juu,muda si mrefu utahitimu then utaajiriwa na utakua na familia yako,je,utaweza ku manage familia yako na kazi kwa ujumla kwa ideas za namna hii? badirika mkuu Japo si lazima ufate ushauri wangu ila ukweli ndo huo.

yah uclazimishe kile unachotaka ww kila mtu akitake ndezi mkubwa ww....mimi ndo hicho nilichoona na ninafuraha sana ktk hilooo mbwiga mkubwa...na kwaasilimia mia nimeitendea vema elimu yangu....tena ucnitibue nisije nikaporomosha madude.....
 
We NAAMINI haujakomaa kiakili.na kama umekomaa una akili ya KICHINA
 
yah uclazimishe kile unachotaka ww kila mtu akitake ndezi mkubwa ww....mimi ndo hicho nilichoona na ninafuraha sana ktk hilooo mbwiga mkubwa...na kwaasilimia mia nimeitendea vema elimu yangu....tena ucnitibue nisije nikaporomosha madude.....
Asante sana Msomi wetu,Ukihitimu tu unapewa na Majukumu ya Kulijenga taifa letu.
 
tena nitakuwa mwadilifu na mtu ninaesimamia ktk ukweli na si ktk mawazo ya watu mbupu ww...
 
Atiiii??????? Anakuumizeni kichwa huyuu?

NAAMINI
user-online.png

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

[h=5]Mini Statistics[/h]Join Date 14th October 2013Last Activity Today 08:59Avatar
unknown.gif
 
Mkuu yani katika kukaa kwako kote umeona hili ndo jambo la Msingi la kuandika? mbona huitendei haki nafasi yako kama Mmoja wa Wasomi Elimu ya Juu,muda si mrefu utahitimu then utaajiriwa na utakua na familia yako,je,utaweza ku manage familia yako na kazi kwa ujumla kwa ideas za namna hii? badirika mkuu Japo si lazima ufate ushauri wangu ila ukweli ndo huo.
Nilifikiri huku kwenye ELIMU ningepata la maana,ngoja niende zangu MMU labda nitapata la maana, loh
 
Dah!Inaonyesha bado Elimu yako haijakusaidia mdogo wangu.Uwezo wako wa kufikiri critically bado mdogo sana.Hiyo mada yako haikustahili huku jukwaa la Elimu ungeipeleka social forums
 
hivi we ----- unanifahamu vizuri hadi uniite mdogo wako,, na je unaujua umri wangu vizuri? Na kwahiyo ww hapo umeona umefikiri critically co....mxiuuuuuu usiniharibie siku.
 
Back
Top Bottom