NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni wengi sana....ujumbe kwa madogo hasa wa kike,pale SUA kuna wahadhiri wanapenda chini sana kwahiyo acheni tabia ya kujipendekeza msipoangalia mtaliwa ovyo ovyo..karibuni sana madogo mm nangojea welcome first year nichukuwe mke wangu wa maisha mana kontena hili Mungu kaniotesha ya kuwa mke wangu yupo humu.....
