Sua sua sua sua sua mwaka wa rahaaaaaaaaaaa

Huyu jamaa atakuwa alikuwa mazimbu conference sasa baada ya kumaliza sterss za hiyo conference amekuja jamvin kujipumzisha kozi chuo kinafunguliwa j3 ijayo sasa hiyo kontena za AEA ameziona wapi kama sio stress za sapu
 
....mtindo wa kukaa pale Chini Mti na kuzamia Kahumba kwa Machangu mmeuchoka na kuamua kubuni mtindo mpya wa Kontena, haya chezeeni nafasi....kama SUA kimekua Chuo cha Kata wengi mtapita lakini kama mkazo ni ule ule wa enzi za Msola VICHWA vitaliwa vingi.
 
kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni wengi sana....ujumbe kwa madogo hasa wa kike,pale SUA kuna wahadhiri wanapenda chini sana kwahiyo acheni tabia ya kujipendekeza msipoangalia mtaliwa ovyo ovyo..karibuni sana madogo mm nangojea welcome first year nichukuwe mke wangu wa maisha mana kontena hili Mungu kaniotesha ya kuwa mke wangu yupo humu.....

Wewe sio mwanafunzi wa SUA!!
 
Huyu jamaa atakuwa alikuwa mazimbu conference sasa baada ya kumaliza sterss za hiyo conference amekuja jamvin kujipumzisha kozi chuo kinafunguliwa j3 ijayo sasa hiyo kontena za AEA ameziona wapi kama sio stress za sapu

Umenena!
 
sikuwa mazimbu conference boya ww...hapa moro ni nyumbani so nimeona totozi hapa na wala cna stress sababu cjashikwa....lete hoja nyingine dada angu
 
hv kwa mawazo ya huyu ndugu yetu wa SUA hv KILIMO kwanza kitatekelezeka kweli? maana naona ana mawazo ya mwanafunzi waDATASTAR TRAINING COLLEGE
 
haya ni matokeo ya umulugo type.
 
si zao la mulugo mimi mndukunije ww...
 
Mkuu NAAMINI;

Ficha ujinga wako tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
hapo nina kadem chang first year amechaguliwa biotechnology so nikikusikia ww mbuzi unafuatilia mke wang ntakupiga na podo la mshale
 
.hivi huyu b.w.e.g.e katokea wapi?..kuna kila sababu yakuwa makini na hawa Graduates wa SUA kuanzia mwaka huu 2013 na kuendelea...
 
ha ha ha usinitafutie ban mm wewe ku......sawa ndezi.
 
hapo nina kadem chang first year amechaguliwa biotechnology so nikikusikia ww mbuzi unafuatilia mke wang ntakupiga na podo la mshale

mm si mbuzi mkuu...mimi ni binadamu mwenye akili timamu...dah! Nitafurahi akiwa wa kwanza kuingia mikononi mwangu ebu ntajie jina mana kama kweli anakupenda basi atakusaliti..
 
Back
Top Bottom