Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni wengi sana....ujumbe kwa madogo hasa wa kike,pale SUA kuna wahadhiri wanapenda chini sana kwahiyo acheni tabia ya kujipendekeza msipoangalia mtaliwa ovyo ovyo..karibuni sana madogo mm nangojea welcome first year nichukuwe mke wangu wa maisha mana kontena hili Mungu kaniotesha ya kuwa mke wangu yupo humu.....
Huyu jamaa atakuwa alikuwa mazimbu conference sasa baada ya kumaliza sterss za hiyo conference amekuja jamvin kujipumzisha kozi chuo kinafunguliwa j3 ijayo sasa hiyo kontena za AEA ameziona wapi kama sio stress za sapu

kila kitu ni muhimu kinapohitajika hata huo ujinga pia ni muhimu...."mbutukunya"
hapo nina kadem chang first year amechaguliwa biotechnology so nikikusikia ww mbuzi unafuatilia mke wang ntakupiga na podo la mshale