kontena limeshuka,watoto wengi waliotakaga kwenda Bcom ila sababu ya non priority wamekuja hapo AEA na division one zao kali na two kama mwaka jana pale AEA kulikuwa na one na two tu.....raia ni wengi sana....ujumbe kwa madogo hasa wa kike,pale SUA kuna wahadhiri wanapenda chini sana kwahiyo acheni tabia ya kujipendekeza msipoangalia mtaliwa ovyo ovyo..karibuni sana madogo mm nangojea welcome first year nichukuwe mke wangu wa maisha mana kontena hili Mungu kaniotesha ya kuwa mke wangu yupo humu.....

ah ah ah ha sasa hapo we ulichoandika ndo akili sio....hii mashine nyingine aliwi mtu kichwa pale...umeckia we boya...ucnitafutie ban mbutukuna(nitafute nikuambie maana yake)....So what?ujinga mtupu..na usipoangalia hapo sua watakutafuna kichwa!
Mkuu yani katika kukaa kwako kote umeona hili ndo jambo la Msingi la kuandika? mbona huitendei haki nafasi yako kama Mmoja wa Wasomi Elimu ya Juu,muda si mrefu utahitimu then utaajiriwa na utakua na familia yako,je,utaweza ku manage familia yako na kazi kwa ujumla kwa ideas za namna hii? badirika mkuu Japo si lazima ufate ushauri wangu ila ukweli ndo huo.
Asante sana Msomi wetu,Ukihitimu tu unapewa na Majukumu ya Kulijenga taifa letu.yah uclazimishe kile unachotaka ww kila mtu akitake ndezi mkubwa ww....mimi ndo hicho nilichoona na ninafuraha sana ktk hilooo mbwiga mkubwa...na kwaasilimia mia nimeitendea vema elimu yangu....tena ucnitibue nisije nikaporomosha madude.....
Nilifikiri huku kwenye ELIMU ningepata la maana,ngoja niende zangu MMU labda nitapata la maana, lohMkuu yani katika kukaa kwako kote umeona hili ndo jambo la Msingi la kuandika? mbona huitendei haki nafasi yako kama Mmoja wa Wasomi Elimu ya Juu,muda si mrefu utahitimu then utaajiriwa na utakua na familia yako,je,utaweza ku manage familia yako na kazi kwa ujumla kwa ideas za namna hii? badirika mkuu Japo si lazima ufate ushauri wangu ila ukweli ndo huo.
Atiiii??????? Anakuumizeni kichwa huyuu?
NAAMINI
Member
Add as Friend Send Private Message Add to Ignore List Find latest posts Find latest started threads View Conversations
[h=5]Mini Statistics[/h]Join Date 14th October 2013Last Activity Today 08:59Avatar
Dah!Inaonyesha bado Elimu yako haijakusaidia mdogo wangu.Uwezo wako wa kufikiri critically bado mdogo sana.Hiyo mada yako haikustahili huku jukwaa la Elimu ungeipeleka social forums