mm si mbuzi mkuu...mimi ni binadamu mwenye akili timamu...dah! Nitafurahi akiwa wa kwanza kuingia mikononi mwangu ebu ntajie jina mana kama kweli anakupenda basi atakusaliti..
hata kama nikikutajia jina lake hutafua dafu hata kidogo,kwanza mtt anaweza kula boom lako lote na mzigo usipate,pili sitak uishi kwa stress af mwishowe ukadisco dogo,by metal from UDSM.
ha ha ha UDSM....hongera kwa kuwa upo kwenye kizazi cha waoga na mamburura...mm ni mmoja wa lile group la kina emekha tuluoanzisha mgomo hapo mpaka wakatuondoa na kesi bado zipo mahakamani na muda wowote tunashinda´´....kwasasa namalizia degree yangu moja hapa then tukishinda narudi kumalizia nyingine so we boya nakifahamu UD zaidi ya ww ukijuavyo na ushukuru Mungu tulijitoa kupandisha bumu na kuwapigania masho....a kama ww!!?