Mshazoea utawaliwa na kanda ya kaskazini, jamaa wa Iringa wameshika tu hako kajisehemu basi mapovu yanamwagika!
SUA ni chuo cha watanzania kwahiyo watanzania wote wanayo haki ya kufanya kazi hapo ikiwa ni pamoja kuteuliwa kushika madaraka ya juu katika chuo hicho. Haiwezekani na haikubaliki kuona watu wa kutoka sehemu moja tu ya nchi wakijimilikisha kuiongoza taasisi ya umma kama vile hakuna wataalamu wa fani hiyo wa kutoka maeneo mengine ya nchi.
Tusipokuwa wakali na kukemea tabia hizi za kupendeleana halafu mtu anakuja kutoa sababu nyepesi nyepesi tu kwamba hakuna ubaya, kama kungekuwa hakuna ubaya kwanini watu wanalalamika? lazima watanzania tubadilike ili sote kwa pamoja tushirikishwe katika ustawi wa nchi yetu.
MchunguZI ulitaka wajae Wachagga na Wasukuma?
Na tukiingia magogoni 2015 Chancelor tunampa mchungaji MSIGWA-(IRINGA).
Taarifa Mheshimiwa Mama Mdogo: Prof Lwoga hatoki Ruvuma bali MkereweViongozi wa SUA waliotangulia: Prof Msolla (Iringa), Prof Luoga (Ruvuma). Uongozi wa Mwaka 2015 Makamu Mkuu wa Chuo - Mama Mdogo - Katavi. Kanda za Kusini Oyee!!!!
Nd. Philemoni Luhanjo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Hilo lilikuwa ni tangazo la makamu mkuu wa chuo hicho.
Ni aibu kwa siasa za nchi hii na uongozi wetu kwa mtu kama huyu kuteuliwa nafasi bora kama hiyo bila kujali matukio ya utawala wake na upungufu wa uelewa au elimu yake.
Wafanyakazi wameomba waelezwe ni kwa nini wao SUA wapelekewe mtu mwenye sifa mbaya ya upungufu wa uadilifu. Mtu ambaye ametuhumiwa hata na Bunge kwa kuwasafisha mafisadi/wezi. Makamu mkuu huyo hakuwa na jibu.
Hali nyingine mbaya zaidi ni pale watumishi hao walipoomba kufahamishwa ni kwa nini uongozi mzima umekuwa ni wa kutoka kanda moja ya Kusini.
Makamu mkuu wa chuo -Sumbawanga
Naibu makamu mkuu wa chuo utawala Iringa
Naibu makamu mkuu wa chuo taaluma Iringa
Mwenyekiti wa baraza (Luhanjo) Iringa
Mwanasheria wa chuo Iringa (mke wa makamu mkuu wa chuo taaluma).
Kuna walakini mwingine kwamba mtu huyu ni business partner wa makamu mkuu wa chuo utawala na fedha ambao kwa pamoja wanamiliki Hotel iitwayo ARC hapa Morogoro.
Kwa mtindo huu wa uteuzi wa kisiasa, taasisi za serikali zinakufa.
SUA ni chuo cha kilimo, na kilimo kimeshamiri zaidi kanda ya nyanda za juu kusini..Labda ndiyo sababu! [Tafadhali msinirukie, just thinking aloud]Nd. Philemoni Luhanjo ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Hilo lilikuwa ni tangazo la makamu mkuu wa chuo hicho.
Ni aibu kwa siasa za nchi hii na uongozi wetu kwa mtu kama huyu kuteuliwa nafasi bora kama hiyo bila kujali matukio ya utawala wake na upungufu wa uelewa au elimu yake.
Wafanyakazi wameomba waelezwe ni kwa nini wao SUA wapelekewe mtu mwenye sifa mbaya ya upungufu wa uadilifu. Mtu ambaye ametuhumiwa hata na Bunge kwa kuwasafisha mafisadi/wezi. Makamu mkuu huyo hakuwa na jibu.
Hali nyingine mbaya zaidi ni pale watumishi hao walipoomba kufahamishwa ni kwa nini uongozi mzima umekuwa ni wa kutoka kanda moja ya Kusini.
Makamu mkuu wa chuo -Sumbawanga
Naibu makamu mkuu wa chuo utawala Iringa
Naibu makamu mkuu wa chuo taaluma Iringa
Mwenyekiti wa baraza (Luhanjo) Iringa
Mwanasheria wa chuo Iringa (mke wa makamu mkuu wa chuo taaluma).
Kuna walakini mwingine kwamba mtu huyu ni business partner wa makamu mkuu wa chuo utawala na fedha ambao kwa pamoja wanamiliki Hotel iitwayo ARC hapa Morogoro.
Kwa mtindo huu wa uteuzi wa kisiasa, taasisi za serikali zinakufa.
Suala la kuangalia hapo ni kuhusu mchakato wa hizo ajira zao ulikuwaje? Kama zilikuwa za upendeleo ndio tujadili lakini suala la kusema tu watoka sehemu moja halina mashiko, na isitoshe nadhani wana sifa za kutosha kwa hayo madaraka walio nayo. Pengine penye utata ni hapo kwenye uteuzi wa Chairman of the Council, kama hana uadilifu ni hoja ya kujadili lakini je upo udhibitisho?
Watanzania tusianze kujadili makabila yetu tujadili uwezo wa mtu, mbona taasisi nyingi tu zinaongozwa na watu toka sehemu moja na wanafanya kazi vizuri tu?
Suala la kwamba anatoka Iringa sio issue. Kanda hiyo ndo imejaa wakulima na watunza misitu, hivyo si ajabu wanaotoka Iringa wakashika nafasi zaidi. Sema kwanini hakuna mtu hata mmoja anaetoka Kilimanjaro, Ruvuma au Mbeya? Ina maana wote huko hawana sifa? Japo mi sitoki maeneo hayo, nachelea kusema kwamba huo ni uoenevu.