sasa watalipwa mishahara bila kufanya kazi.?
Yaani corona imeleta kazi kweli kweli.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
kuna mdogo wngu kapiga master china kuja bongo kapangiwa kazi mshahara 1.5m hayo makato sasa mbona na kazi yenyewe alikimbiaHaya mliyataka wenyewe. Elimu kayumba primary ni bure.
Unasomesha mtoto international, unampeleka China kusomea udaktari kisha anakuja kusubiri ajira za serikali za laki 8 mshahara kwa mwezi.
Halafu watoto wao ni wanene na wengine wanavyo vitambi.Hahah wanafikiri watoto wao wanavyopanda school bus za njano kila siku tunafurahi?Afu inakuaje watoto wao wadogooo wa std 4 wanajua kiingereza kuliko watoto wetu wa form 3?
Wazazi wa Kayumba tunaumia mnooooooooooooooo.
mleta uzi ana hoja, issue sio kutoa Pesa, Issue ni kutoa pesa bila matumizi.Mleta uzi ni mpumbavu sana
Shule za kata si zipo na ada ni elfu ishirini yaani bei ya bia 10 tu
Peleka mtoto huko shule ya kata
Unafahamu Capitalist economy wewe?
Tanzania uchumi hauodhiwi na serikali ndio maana kuna sekta binafsi upo?
Unajifanya tajiri kumbe maskini wa kutupwa, Peleka mtoto shule ya kata
Haya mliyataka wenyewe. Elimu kayumba primary ni bure.
Unasomesha mtoto international, unampeleka China kusomea udaktari kisha anakuja kusubiri ajira za serikali za laki 8 mshahara kwa mwezi.
Some people bana lohMleta uzi ni mpumbavu sana
Shule za kata si zipo na ada ni elfu ishirini yaani bei ya bia 10 tu
Peleka mtoto huko shule ya kata
Unafahamu Capitalist economy wewe?
Tanzania uchumi hauodhiwi na serikali ndio maana kuna sekta binafsi upo?
Unajifanya tajiri kumbe maskini wa kutupwa, Peleka mtoto shule ya kata
Muwe mnaelewa. hajakataa kulipa ada..alichokataa kulipa ni ada yote full wakati mtoto haendi shule zaidi ya kutumiwa assignments. Ada ingepungua kulingana na situationUna kataa kulipa ada hao waalimu wana familia pia, wazazi, watoto nk wale nini? Tufikirie mara mbili juu kwenye kila jambo
[emoji28][emoji28][emoji28] nimeona wapo wengi..halafu wana hasira haoooooMtoa mada jiandae kushambuliwa na wazazi wenye watoto huko Kayumba.
Umelinganisha vitu visivyoendanaMimi naona ni haki yao kudai ada, maana hata ukipangishwa nyumba miezi sita alafu ukasafiri miezi minne ukiwa ndani ya mkataba huwezi kusema hulipi kisa hujakaa kwa kuwa ulikua upo safari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wazazi wenzangu was Kayumba tuacheni wivu[emoji3][emoji16][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimelipa ada ya miaka miwili mbele.Mh Waziri wa Elimu na Serikali tunaomba muingilie kati hili linaloendelea katika hii shule ya Academic International School ya hapo Dsm kwani wanawalazimisha Wazazi kulipa Ada ya term nzima wakati huu ambao tupo kwenye janga la Corona, shule zote zimefungwa na haijulikani ni lini hali itarudi kuwa ya kawaida pale shule zitakapofunguliwa rasmi.
Ipo hivi, mara baada ya Serikali kuzifunga shule zote kutokana na janga la corona, shule hii kama zilivyo nyingine nyingi, imekuwa ikiwatumia wanafunzi wake assignments/maswali mbalimbali kupitia walimu wa masomo kama sehemu ya kuwa keep watoto busy hasa kipindi hiki ambacho wapo nyumbani.
Hili ni jambo jema na Wazazi hawakatai kwamba kwenye hili kuna gharama za hapa na pale ambazo Shule na walimu wamekuwa wakiingia ili kulifanikisha hili la kuwasaidia watoto kipindi hiki wakiwa nyumbani. Lakini hili la kuwaambia Wazazi walipe ADA/TUITION FEES ya muhula mzima HALIKUBALIKI kwani watoto wapo nyumbani na hawapati zile class sessions za masomo yote kama wanapokuwa shuleni full time. Hakuna chochote kipya cha kwenye masomo ambacho wanakipata hivi sasa zaidi ya Walimu kuwatumia assignments/maswali ili kuwa keep busy kipindi hiki ambacho wapo nyumbani.
Shule walau ingesema Wazazi wanapaswa kulipa kiasi fulani cha Ada/percent fulani ya Ada ili kusaidia hili ambalo linafanywa na walimu hivi sasa la kuwasaidia wanafunzi wakiwa nyumbani lakini sio kulipa Ada kamili.
Tunaomba sana Serikali kupitia Waziri wa Elimu Prof Joyce Ndalichako kulimulika hili.Vyombo vya kiuchunguzi vya serikali viliangalie hili linalofanywa na hii Academic Internationl School la kudai Ada kwa Wazazi wenye watoto kwani hii sio HAKI kabisa.
View attachment 1420400
View attachment 1420395View attachment 1420396
OkMuwe mnaelewa. hajakataa kulipa ada..alichokataa kulipa ni ada yote full wakati mtoto haendi shule zaidi ya kutumiwa assignments. Ada ingepungua kulingana na situation
Sent using Jamii Forums mobile app