Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

Suala la Academic International School kudai ada ya muhula wakati huu halikubaliki, Serikali tunaomba muingilie kati

Serikali imefunga shule kwa muda usiojulikana,sasa utaendelea kulipa ada mpaka chanjo ipatikane?
Ni vema kulipa kwa kadri ya mkataba kuwa utalipa kiasi hiki January, March, July na August 2020!
 
Kuna watu ni wapuuzi sana especialy wachangiaji wa mwanzoni mwanzon kinacho wasumbua ni Umaskini wenu eti Anampeleka mtoto Int...school anaacha za Kata kisa ni Bure...

Ivi unaakili kweli wewe ulie changia huo utopolo? iyo Elimu bure baki nayo mwenyewe tena nyie ndio mlio peleka watoto shule wakiwa na nguo za nyumbani mkitegemea hadi na Uniform wanapewa bure

"Iyo Elimu bure kweli ni Bure"
 
Wazazi wenye watoto kayumba wanatoa Sana povu kwa wivu ka elimu ghali wajaribu ujinga, pia watoto hawaendi shule kwanini walipe Ada full huo ni wizi angalau wangelipa nusu au robo ya Ada, Mimi nimempenda Museveni huko kwake kawaambia wenye nyumba kuhusu Kodi na ma bank kustop kudai kwa Kasi.
Mleta mada naona una hoja mujaribu at least watu walipe nusu Ada, sio full

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo elimu Bora ni darasa moja wanafunzi wamejirundika Hadi ubaoni halafu chini, ndo elimu Bora huku wakiongoza na zero
Kuna watu ni wapuuzi sana especialy wachangiaji wa mwanzoni mwanzon kinacho wasumbua ni Umaskini wenu eti Anampeleka mtoto Int...school anaacha za Kata kisa ni Bure...

Ivi unaakili kweli wewe ulie changia huo utopolo? iyo Elimu bure baki nayo mwenyewe tena nyie ndio mlio peleka watoto shule wakiwa na nguo za nyumbani mkitegemea hadi na Uniform wanapewa bure

"Iyo Elimu bure kweli ni Bure"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wenye watoto kayumba wanatoa Sana povu kwa wivu ka elimu ghali wajaribu ujinga, pia watoto hawaendi shule kwanini walipe Ada full huo ni wizi angalau wangelipa nusu au robo ya Ada, Mimi nimempenda Museveni huko kwake kawaambia wenye nyumba kuhusu Kodi na ma bank kustop kudai kwa Kasi.
Mleta mada naona una hoja mujaribu at least watu walipe nusu Ada, sio full

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama ni sahihi kulipa ada kipindi hiki ambacho wanafunzi hawasomi,shule itafute namna ya kujiendesha,unalipaje ada wakati huna uhakika watoto wanarudi lini shuleni
Mim ni mwalimu shule ya international x hapa Arusha, hivi ninavoandka reply hii ni nimetoka mapumzko baada ya kuwa na vipind darasan (online classroom), ni video meeting via google classroom, yan ni normal classroom session . Tunafanya kazi kama kawaida na shule inaoperate kama kawaida, so wazaz wasipolipa ada mambo yataendaje? Swali kwako....Online courses hazilipiwi?
 
Hatimaye walimu wa shule za serikali, wamepumua, kwa mara ya kwanza wanakula mshahara wakiwa home bila kutoa jasho.
Mliwaona wa nini, sasa wamekuwa keki.

🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Wana JF wengi uchumi chini tu hzo ma Vogue husoma mtandaoni,ndo Mana badala ajibu hoja eti mrudishe mtoto shule za kata, I think wizara ije na Muongozo utumike nchi nzima ka watoto wamejikalia nyumbani kwanini utoe Ada nzima Bora ingekuwa kutoa kiasi flani, si ajabu hyo shule wanataka Hadi fees za school bus, Mara food huko sikuchekesha
Kinachotakiwa kwa Sasa ni kulipia ada kidogo ambazo zitasaidia kuendesha shule na sio kulipa full. Logic ni simple kipindi hiki wanafunzi hawafundishwi kwa hiyo walipe kidogo kwa ajili ya assignment wanazotuma online. Tuchukulie mfano huu ugonjwa ukaenda kwa miaka miwili je tutaendelea kulipa ada?

Na je ukiisha kesho na shule zikarudi na kuna wanafunzi mfano form six walishamaliza ada je watalipa tena?

Kikubwa hapa Wizara husika itoe mwongozo ambao utafuatwa na shule zote.

Halafu wana JF mna balaa. Humu humu ndio wote tunamiliki vogue, tunaishi USA, tunamijengo Masaki nk. Leo kaja mtu anasomesha mtoto international mnamshauri ampeleke shule ya kata. Mmeshasahau majivuno yenu yote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good advice indeed
Hio ni kazi ya shule kuumiza kichwa,labda kwa ushauri ;kama wana mikopo waombe benki zisitishe makato kwa muda,watumie akiba ya shule kujiendesha,kama ni kodi waiombe serikali isitishe kwa muda,kama shule ina miradi mbadala ndio muda wa kuitumia nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo shule ipo sawaa kabisa. Nyinyi toeni hizo ada sababu ndio chanzo chao cha mapato , Kumbuka kuwa endapo itasitisha malipo ya wafanyakazi wao ni kosa vile vile unataka wakaibe wapi ili kuendeleza shughuri zao.

Note: Endapo serikali itaingilia hilo inabidi ya yenyewe ionyeshe mfano kwa kuondoa kodi na baadhi ya makato, kitu ambacho siyo sahihi sababu mshahara bado ni ule ule, Serikali bado hajafunga biashara yeyote, Na hakuna tasisi iliyoelekezwa kutolipa mishahara Au hujaambiwa kuacha kufanya shughuri zako zozote za kukuingizia kipato.

Kama awali uliweza kulipa iweje leo uje kulia lia utadhani huko international wanasoma watoto ambao kwao kuna vipato kidogo au vya kati.
Sisi ambao ndugu zetu wanasoma kajamba nani, Hata hayo maswali hawapati kabisa na bado walimu wao walipwa mshahara kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona kaleta balaa.
Ujue kuna watu wana saga meno.
Kutokana na kazi zao kuzuiwa sababu ya corona..
Hapo hapo kuna mtu ANASEMA TUNA TAKA LOCK DOWN.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mimi nisingelipa huo upuuzi corona haijulikani inaisha lini uchumi wenyewe haueleweki nijitie kulipa

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona hivyo hujue shule level za academic is not for you, maana hata huko IST ada bado zinalipwa na husikii wazazi wakilalamika..

Inategemea shule anayosoma mwanao ni level gani. Kama level za juu lazima ulipe tu. Hutaki muhamishe mwanao maana hawajakulazimisha kumpeleka kwao
 
Tatizo mtoto hayupo shule.
UNALIPA ADA YA NINI?
Hujatumia busara mkuu, kumbuka hiyo shule ni biashara ya mtu. Na biashara kipindi hiki zimepata pigo kubwa, na ukumbuke pia wanahitaji nao kulipa mishahara.

Kumbuka, IF YOU ASK THE PRICE, YOU CAN NOT AFFORD IT

Wewe hizo shule sio class yako

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
sasa watalipwa mishahara bila kufanya kazi.?
Yaani corona imeleta kazi kweli kweli.
Mzazi lipa tu hiyo ada tafadhali maana ndiyo chanzo kikuu cha mishahara ya wale walimu wanaompa maarifa mtoto wako.

Usipolipa hiyo ada, walimu na wafanyakazi wengine wa shule kama walinzi, wapishi, nk. watakosa mishahara na fedha za kujikimu wakati huu wa hili janga la Corona.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Kufanya biashara maana yake sio kumdai mtu bila kumpa huduma boss. Huo ni wizi kama wizi mwingine.
Hivi Kwanini huwa hushughulishi ubongo wako? Ada ya shule ni mwaka mzima! Ila kwa huruma ya shule inaweza kulipwa kwa awamu. Mtoto akisajiliwa ni jukumu la mzazi kulipa ada. Huduma gani unadai? Anatakiwa kulipa in advance kama ambavyo unaweka kifurushi cha maongezi au data katika simu yako na haijalishi hukukitumia kwa vile simu yako ni mbovu na baada ya mwezi kinakatika huwezi wadai Voda
 
Mim ni mwalimu shule ya international x hapa Arusha, hivi ninavoandka reply hii ni nimetoka mapumzko baada ya kuwa na vipind darasan (online classroom), ni video meeting via google classroom, yan ni normal classroom session . Tunafanya kazi kama kawaida na shule inaoperate kama kawaida, so wazaz wasipolipa ada mambo yataendaje? Swali kwako....Online courses hazilipiwi?
Kama mnaendelea na online course ni sawa,ongeeni na wazazi mkubaliane kiwango stahiki cha kulipa,lakini sio ada nzima, online itabaki online,huwezi kulinganisha na physical interaction,
 
Back
Top Bottom