Ni vema kulipa kwa kadri ya mkataba kuwa utalipa kiasi hiki January, March, July na August 2020!Serikali imefunga shule kwa muda usiojulikana,sasa utaendelea kulipa ada mpaka chanjo ipatikane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vema kulipa kwa kadri ya mkataba kuwa utalipa kiasi hiki January, March, July na August 2020!Serikali imefunga shule kwa muda usiojulikana,sasa utaendelea kulipa ada mpaka chanjo ipatikane?
Kusahihisha kazi zinazotumwa online.Walipwe wamefanya kazi gani?
Kusahihisha kazi zinazotumwa online.
Kuna watu ni wapuuzi sana especialy wachangiaji wa mwanzoni mwanzon kinacho wasumbua ni Umaskini wenu eti Anampeleka mtoto Int...school anaacha za Kata kisa ni Bure...
Ivi unaakili kweli wewe ulie changia huo utopolo? iyo Elimu bure baki nayo mwenyewe tena nyie ndio mlio peleka watoto shule wakiwa na nguo za nyumbani mkitegemea hadi na Uniform wanapewa bure
"Iyo Elimu bure kweli ni Bure"
Ni vema kulipa kwa kadri ya mkataba kuwa utalipa kiasi hiki January, March, July na August 2020!
Mbona povuWazazi wenye watoto kayumba wanatoa Sana povu kwa wivu ka elimu ghali wajaribu ujinga, pia watoto hawaendi shule kwanini walipe Ada full huo ni wizi angalau wangelipa nusu au robo ya Ada, Mimi nimempenda Museveni huko kwake kawaambia wenye nyumba kuhusu Kodi na ma bank kustop kudai kwa Kasi.
Mleta mada naona una hoja mujaribu at least watu walipe nusu Ada, sio full
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim ni mwalimu shule ya international x hapa Arusha, hivi ninavoandka reply hii ni nimetoka mapumzko baada ya kuwa na vipind darasan (online classroom), ni video meeting via google classroom, yan ni normal classroom session . Tunafanya kazi kama kawaida na shule inaoperate kama kawaida, so wazaz wasipolipa ada mambo yataendaje? Swali kwako....Online courses hazilipiwi?Sidhani kama ni sahihi kulipa ada kipindi hiki ambacho wanafunzi hawasomi,shule itafute namna ya kujiendesha,unalipaje ada wakati huna uhakika watoto wanarudi lini shuleni
Kinachotakiwa kwa Sasa ni kulipia ada kidogo ambazo zitasaidia kuendesha shule na sio kulipa full. Logic ni simple kipindi hiki wanafunzi hawafundishwi kwa hiyo walipe kidogo kwa ajili ya assignment wanazotuma online. Tuchukulie mfano huu ugonjwa ukaenda kwa miaka miwili je tutaendelea kulipa ada?
Na je ukiisha kesho na shule zikarudi na kuna wanafunzi mfano form six walishamaliza ada je watalipa tena?
Kikubwa hapa Wizara husika itoe mwongozo ambao utafuatwa na shule zote.
Halafu wana JF mna balaa. Humu humu ndio wote tunamiliki vogue, tunaishi USA, tunamijengo Masaki nk. Leo kaja mtu anasomesha mtoto international mnamshauri ampeleke shule ya kata. Mmeshasahau majivuno yenu yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni kazi ya shule kuumiza kichwa,labda kwa ushauri ;kama wana mikopo waombe benki zisitishe makato kwa muda,watumie akiba ya shule kujiendesha,kama ni kodi waiombe serikali isitishe kwa muda,kama shule ina miradi mbadala ndio muda wa kuitumia nk nk
Mimi nisingelipa huo upuuzi corona haijulikani inaisha lini uchumi wenyewe haueleweki nijitie kulipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujatumia busara mkuu, kumbuka hiyo shule ni biashara ya mtu. Na biashara kipindi hiki zimepata pigo kubwa, na ukumbuke pia wanahitaji nao kulipa mishahara.
Kumbuka, IF YOU ASK THE PRICE, YOU CAN NOT AFFORD IT
Wewe hizo shule sio class yako
Mzazi lipa tu hiyo ada tafadhali maana ndiyo chanzo kikuu cha mishahara ya wale walimu wanaompa maarifa mtoto wako.
Usipolipa hiyo ada, walimu na wafanyakazi wengine wa shule kama walinzi, wapishi, nk. watakosa mishahara na fedha za kujikimu wakati huu wa hili janga la Corona.
Hivi Kwanini huwa hushughulishi ubongo wako? Ada ya shule ni mwaka mzima! Ila kwa huruma ya shule inaweza kulipwa kwa awamu. Mtoto akisajiliwa ni jukumu la mzazi kulipa ada. Huduma gani unadai? Anatakiwa kulipa in advance kama ambavyo unaweka kifurushi cha maongezi au data katika simu yako na haijalishi hukukitumia kwa vile simu yako ni mbovu na baada ya mwezi kinakatika huwezi wadai VodaKufanya biashara maana yake sio kumdai mtu bila kumpa huduma boss. Huo ni wizi kama wizi mwingine.
Kama mnaendelea na online course ni sawa,ongeeni na wazazi mkubaliane kiwango stahiki cha kulipa,lakini sio ada nzima, online itabaki online,huwezi kulinganisha na physical interaction,Mim ni mwalimu shule ya international x hapa Arusha, hivi ninavoandka reply hii ni nimetoka mapumzko baada ya kuwa na vipind darasan (online classroom), ni video meeting via google classroom, yan ni normal classroom session . Tunafanya kazi kama kawaida na shule inaoperate kama kawaida, so wazaz wasipolipa ada mambo yataendaje? Swali kwako....Online courses hazilipiwi?