Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

Kumbe zilipendwa..basi pole kama unaamini huo ukanda utarudi tena chini ya zenji pole sana..kwa sasa zenji ni koloni la Tanganyika chini ya chama cha kijani.

#MaendeleoHayanaChama
Kamwambie mama anayewachambisha kila siku
 
Ndiyo maana nikasema hakuna, utaniambiaje kuna mshindi alafu simuoni kwenye top 5?.

Issue ya kusema yupo alafu unasingizia yupo ndani kwa sababu fulani unakosea asee.

Kusema wanaogopa can't make sense asee, nyie watu badirikeni asee!!
Nilitafsiri vibaya neno "hakuna"
Mimi nilitafsiri kama "non existing"
Wewe umetafsiri kama "unable", "inable"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…