Suala la bandari linachukuliwa kama 'kiki' kwa wanasiasa

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona na jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili ya kuomba jambo hili hili ni mengi na yote ni mashuhuri duniani, kibiashara DP WORLD, anajaribu kufanya kitu kinachoitwa kibiashara lobbying,

The government is also studying proposals from other ports and logistics operators, including Hong Kong-based Hutchison Port Holdings Trust, Adani Ports and Special Economic Zone Ltd., Port of Antwerp-Bruges, Singapore’s PSA International Ltd. and Danish shipping company AP Moller-Maersk A/S to run other parts of the port, he said.

Watanzania tuwe watulivu serekali yetu ipo makini sana, hao wanasiasa mfu wenye viherehere tuachane nao kwani sisi ndio tandiko lao la kuwanyooshea njia wao, tusitumike kipumbavu kama matahaira, watatugeuza njia mpaka lini, wamewatuma majuzi muandamande wao wameandamana na familia zao, tunafahamu mmejazwa ujinga mkaandamana wao na familia zao walijitokeza.

Rais, funga valve upya.
 
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona ni jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili ya kuomba jambo hili hili ni mengi na yote ni mashuhuri duniani, kibiashara DP WORLD, anajaribu kufanya kitu kinachoitwa kibiashara lobbying,

The government is also studying proposals from other ports and logistics operators, including Hong Kong-based Hutchison Port Holdings Trust, Adani Ports and Special Economic Zone Ltd., Port of Antwerp-Bruges, Singapore’s PSA International Ltd. and Danish shipping company AP Moller-Maersk A/S to run other parts of the port, he said.

Watanzania tuwe watulivu serekali yetu ipo makini sana, hao wanasiasa mfu wenye viherehere tuachane nao kwani sisi ndio tandiko lao la kuwanyooshea njia wao, tusitumike kipumbavu kama matahaira, watatugeuza njia mpaka lini, wamewatuma majuzi muandamande wao wameandamana na familia zao, tunafahamu mmejazwa ujinga mkaandamana wao na familia zao walijitokeza

Rais, funga valve upya.
 
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona ni jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili ya kuomba jambo hili hili ni mengi na yote ni mashuhuri duniani, kibiashara DP WORLD, anajaribu kufanya kitu kinachoitwa kibiashara lobbying,

The government is also studying proposals from other ports and logistics operators, including Hong Kong-based Hutchison Port Holdings Trust, Adani Ports and Special Economic Zone Ltd., Port of Antwerp-Bruges, Singapore’s PSA International Ltd. and Danish shipping company AP Moller-Maersk A/S to run other parts of the port, he said.
Watanzania tuwe watulivu serekali yetu ipo makini sana, hao wanasiasa mfu wenye viherehere tuachane nao kwani sisi ndio tandiko lao la kuwanyooshea njia wao, tusitumike kipumbavu kama matahaira, watatugeuza njia mpaka lini, wamewatuma majuzi muandamande wao wameandamana na familia zao, tunafahamu mmejazwa ujinga mkaandamana wao na familia zao walijitokeza,
Rais, funga valve upya.
Wewe bila shaka ni mfukuzia Ganji....
 
Mnhhh serikali ingeweka mjadala kwa wananchi kabla hawajakubaliana kusingekuwa na watu wako misinformed. Mmshauzwa tayari ndugu,lol
 
Umetumwa na DP world au na wewe mtoa mada ni miongoni mwa WEZI?
 
Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona ni jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili ya kuomba jambo hili hili ni mengi na yote ni mashuhuri duniani, kibiashara DP WORLD, anajaribu kufanya kitu kinachoitwa kibiashara lobbying,

The government is also studying proposals from other ports and logistics operators, including Hong Kong-based Hutchison Port Holdings Trust, Adani Ports and Special Economic Zone Ltd., Port of Antwerp-Bruges, Singapore’s PSA International Ltd. and Danish shipping company AP Moller-Maersk A/S to run other parts of the port, he said.
Watanzania tuwe watulivu serekali yetu ipo makini sana, hao wanasiasa mfu wenye viherehere tuachane nao kwani sisi ndio tandiko lao la kuwanyooshea njia wao, tusitumike kipumbavu kama matahaira, watatugeuza njia mpaka lini, wamewatuma majuzi muandamande wao wameandamana na familia zao, tunafahamu mmejazwa ujinga mkaandamana wao na familia zao walijitokeza,
Rais, funga valve upya.
Walichosaini ni kitu gani kama Bado kuna majadiliano.

Ebu tupe jina la kampuni Nyingine waliyosaini nayo makubaliano ila bado wako kwenye majadiliano..

Sema hivi hawakutegemea Hii reaction ya wanachi. Wajipange upya...
 
WaTanganyika wanarudishwa utumwani kwa Mwarabu, tukemee Hili swala na sio kuleta hoja za kichawachawa.
 
Back
Top Bottom