Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Asante sheikh. Mimi na wewe na watoto wetu wa kiislam ngoja tuendelee kusubilishia kudra za mwenyezi Mungu. Maana sioni juhudi zozote kutoka kwa makundi ya kiislam wasomi na wasio wasomi kudai haki zao.
Massa,
Kusubiri si kusubili.
R na L unatakiwa uzijue.
 
Sa ingine anakua kalewa whisky huyu ustaadh mudi hamjui tu
Babu...
Umeghadhibika.

Ghadhabu zimekuondolea umakini na hii ndiyo sababu ya mjadala wenye heshima unauharibu kwa maneno kama ''ustaadhi,'' ''mudi,'' na kuniita mimi mlevi wa ''whisky.''

Halikadhalika ghadhabu inakuondelea kumbukumbu.
Swali hili liliuliza Nna Uzalendo wa Kitanzania mwezi January 2024 na nilijibu:

Jan 24, 2024
''Rudia Tena kusoma ulichoandika na ikiwezekana utafute Mtu apitie upya ulichoandika kabla ya kukileta hapa jukwaani
Uzalendo...
Nimepitia kusoma.
Ikiwa unaona kuna makosa nitashukuru kama utayaeleza hapa.
 
Kwani historia ya nchi hii umeisoma mwenyewe? We ni mpotoshaji kuliko shetani. Watu km ww hawajawahi kufanikiwa ktk haja zao. Dini yenyewe ni utamaduni wa mwarabu. We bd unatawaliwa na wakoloni waitwao waarabu.
 
Yaani pamoja la lile limkataba la hovyo bado mzee wangu hukuona kuwa issue sio waarabu wala waislamu??? We umekamia ni TEC ilhali kuna nduguzo katika imani wengi wamezungumzia mkataba wa awali kuwa ulisheheni madudushudu kibwena

And by the way, pamoja na yote hukuona andiko vipengele kwanini walipinga na kwa wasomi si huwa tunaenda na facts?

Kweli tuna safari ndefu
 
Just...
Inahitaji muda kukueleza kwa nini wengi walikuwa pembeni katika suala hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…