Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrangi,Unauchukia sana na ukristo
Ova
Mpaji...Hapa ukisoma vzr mzee mudi anavaa kofia ya kuzuga anaelimisha juu ya historia ya Tanganyika lkn deep down anafanya harakati uchara za kidini...kupagawa udini ni jambo baya sana skiageni tu
Exactly wewe sio MrangiSt Joseph ....
St Peters .....
Ngoma hii
Ova
History is written by the victors...............wazee wa uamsho mmechelewa saana japo mnajitahidi ku recover
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam.
Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni hadi kufikia hili la bandari kupewa "Waarabu," katika Tanganyika huru.
TEC imefedheheka na hili limewaumiza na kwa mara ya kwanza wameshindwa kupata walichotaka kama ilivyokuwa mazoea.
Hawa walikuwa wakikataa kitu basi hakipiti.
Hawakuitaka EAMWS.
Hawakuitaka OIC.
Hawakuitaka Mahakama ya Kadhi.
Hili la bandari hawakulitaka kama ilivyo kawaida.
Wameshindwa safari hii kwa mara ya kwanza.
"Waarabu" wamekabidhiwa bandari.
Imekuwaje kwa TEC kushindwa?
Imeshindwa kwa sababu kuu moja ingawa zipo nyingi.
Hapa nitaeleza hii sababu moja kuu.
Waislam katika sakata la bandari walijikusanya pamoja na kujiweka mbali sana na wale ambao kila wamuonapo "Mwarabu" wao wanauona Uislam ambao lazima upigwe vita kwa hali yoyote ile.
Lakini kulikuwa na kitu kilichoongeza ladha katika kachumbari iliyokuwa ikitengenezwa na TEC.
Waliokuwa wanapinga Waarabu kuendesha bandari walikuwa wa imani moja na pamoja na CHADEMA.
Mifano iko mingi lakini hapana haja kueleza yote hapa.
Waislam kimya kimya wakaiunganisha CHADEMA katika orodha yao.
Chama hiki kikawekwa kundi moja na TEC na hii haikuwa kazi kubwa ya kumtoa mtu jasho la kwapa.
Ndani ya serikali na CCM kuna watu waliona mapema kabisa asubuhi kuwa nchi imeshagawanyika mapande mawili katika misingi ya imani.
Walio ndani ya serikali na CCM iliwadhihirikia kuwa Waislam wamejitenga wako mbali na wanaowapiga vita "Waarabu" na kwa mara ya kwanza kwa namna ya ajabu kabisa Waislam wakawa wanasubiri muda uwadie wapambane na TEC na mwenza wake CHADEMA.
Zikavuja taarifa kuwa Waislam nje ya BAKWATA wanajiandaa kwenda mahakamani kuhoji mengi yanayowasibu ndani ya serikali.
Waliokuwa serikalini na CCM walitambua watuhumiwa watakuwa nani.
Wenye akili zilizotimia ndani ya serikali na CCM haraka wakajiuliza tumefikaje hapa?
Hawa Waswahili si ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika hadi ukapatikana?
Wenye akili timamu wakatambua vipi wamefika hapo.
Waingereza wana msemo, "You do it once too often."
Wakatoliki wamejidekeza kupita kiasi kwa kuhodhi kila kitu kuanzia serikali yenyewe, bunge, vyama vya siasa na kila kitu bila ya kukutana na kizingiti chochote.
Waislam wako nje na katika hili la "Waarabu," na bandari wamejiweka pembeni makusudi ili Ukristo ndani ya Tanzania ujivue nguo wenyewe hadharani.
Wametishika na wakarudi nyuma.
Hatari iliyokuwa inawakabili waliitambua.
Serikali ikatimiza maamuzi yake.
Taifa likabakia limetulia.
Kanisa likabakia limefedheheka.
Ile nguvu waliyodhani bado TEC inayo kumbe haipo tena.
TEC bila shaka imejiuliza baada ya haya nini kitafuatia?
Sababu ya kushindwa kwao wanaijua fika.
Sasa msemaji anasema Vatican siyo iliyomwalika Rais wa Tanzania bali serikali imeombwa ialikwe Vatican.
Nani mwenye kawaida ya kuongopa?
Kinachotafutwa hapa ni kujaribu kujifuta tope baada ya kuanguka.
Inataka ieleweke kuwa Rais wa Tanzania ana hofu na amejisalimisha Vatican.
Msemaji ananadi kuwa Kanisa Katoliki lina nguvu si watu wa kupuuzwa.
Ukweli ni kuwa hakika Kanisa limehodhi serikali kwa uwiano wa 80% kwa 20%.
Hali hii leo si mtaji tena kwao kwa sababu zilizo wazi kwani mengi yasiyopendeza yanaelezwa dhidi ya Kanisa na hatari yake ishajitokeza.
TEC imedhoofika bila yenyewe kutambua.
Hii ndiyo sababu ya TEC na CHADEMA kujikuta wako peke yao katika sakata la bandari na vita yao dhidi ya "Waarabu."
Iwe iwavyo hali ya siasa imebadilika.
Hizi propaganda kuwa Rais wa Tanzania ana hofu hazitasaidia kitu.
Zinaweza zikaamsha makubwa ambayo hawayategemei.
Zinaweza hizi propaganda pengine zikazua makubwa kuliko ule ukimya walioonesha Waislam wakati wa sakata la bandari.
Wasisahau ukimya mwingi una kishindo.
Nab...History is written by the victors...............wazee wa uamsho mmechelewa saana japo mnajitahidi ku recover
sijasema kwamba ni uongo ila mambo yalivyo ni kama kulikua na pande zinashindana na mshindi ndo akaandika historia,,,,,hivyo ndo dunia ilivyo,,,,,,,,,,,.....historia unayotoa sio mbaya japo inaonyesha kuegemea upande wa dini/ ukanda fulani na hapo ndo shida inapokuja, uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganiwa tokea enzi za wakina mkwawa na wazee wa majimaji hukoNab...
Usemi wa mdomo haumkatai bwana wake.
Mimi nimeiandika historia ya uhuru wa Tanganyika na tunaijadili hapa toka mwaka wa 2008.
Kitabu cha Abdul Sykes kinakwenda toleo la nne.
Kitabu cha Chuo Cha CCM Kivukoni wala hakijulikani kilipoishia.
Naby...sijasema kwamba ni uongo ila mambo yalivyo ni kama kulikua na pande zinashindana na mshindi ndo akaandika historia,,,,,hivyo ndo dunia ilivyo,,,,,,,,,,,.....historia unayotoa sio mbaya japo inaonyesha kuegemea upande wa dini/ ukanda fulani na hapo ndo shida inapokuja, uhuru wa Tanganyika ulianza kupiganiwa tokea enzi za wakina mkwawa na wazee wa majimaji huko
Ndo maana nikasema mshindi ndie huandika historia,,,,,uzuri historia unayoleta inatufunulia mambo mengine kuhusu huu mfumo wa sasa, maana kwa hayo yote ila mwishoni waliokuja kuushika mfumo ni watu wengine ,basi kila mtu alikua anacheza karata zake natamani kujua ikawaje waasisi wakazidiwa kete wakati ndo walikua ma alwatanNaby...
Hapajapata kuwa na kushindana kuandika historia ya TANU.
Mtu wa kwanza kunyanyua kalamu kueleza historia ya African Association alikuwa Kleist Sykes.
Aliacha mswada uliokuja kuwa sehemu ya kitabu alichohariri John Iliffe, "Modern Tanzanians," mwaka wa 1973.
Kleist hakuandika kwa kuwa alikuwa mshindi.
Aliandika kueleza maisha ya baba yake na kikosi cha Wazulu kilivyofika Germany Ostafrika mwishoni mwa miaka ya 1800.
Historia hii haiegemei Uislam ila ndivyo ilivyokuwa kuwa wao ndiyo waliounda African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933.
Hivi ndivyo ilivyokuwa na waasisi wa vyama hivyo vyote viwili walikuwa Waislam akina Mzee bin Sudi, Ali Said Mpima, Ibrahim Hamisi kwa kuwataja wachache.
Hawa wote walikuwa watu wa Dar-es-Salaam na huu ni ukweli huwezi kuukataa.
Mkwawa jina lake ni Abdallah na alisilimishwa na Abushiri bin Salim aliyekuwa adui mkubwa wa Wajerumani.
Majemadari wa Maji Maji walinyongwa na Wajerumani na kuzikwa kaburi la halaiki Songea.
Kiongozi wao jina lake Abdulrauf Songea Mbano.
Bahati mbaya ikiwa kuna watu wanataabika kwa kuandikwa historia hii kama ilivyosrahili kuandikwa kwa kuwa Waislam wanaonekana mstari wa mbele.
Naby...Ndo maana nikasema mshindi ndie huandika historia,,,,,uzuri historia unayoleta inatufunulia mambo mengine kuhusu huu mfumo wa sasa, maana kwa hayo yote ila mwishoni waliokuja kuushika mfumo ni watu wengine ,basi kila mtu alikua anacheza karata zake natamani kujua ikawaje waasisi wakazidiwa kete wakati ndo walikua ma alwatan
Bado palepale mshindi huandika historia......Naby...
Haya si mambo ya kueleza shingo umetoa.
Unatakiwa mjadala wa taratibu usichochee jamii ikatazamana kwa uadui kwa yale yaliyopita zamani.
Jambo likishapita halidhuru.
Hapakuwa na kupimana nguvu.
Kuwa imekuwa hivi ni jambo la kusikitisha si jambo la kumkweza mmoja kuwa ni mjanja na mwingine ni mjinga.
Mtu haibiwi kwa kuwa ni mjinga.
Kuwa Abdul Sykes alijizuia kueleza historia yake si kwa kuwa alikuwa mjinga.
La hasha.
Uungwana ulimtaka afanye vile.
Naby...Bado palepale mshindi huandika historia......
Wewe mzee ni Mfano mbaya kwa wajukuu wako maana wakati watu wakipigana kujitoa katika ukoloni na utumwa wa kifikra lakini wewe unapigana kuuleta utumwa wa kifikra kisa tu dini naamini waarabu wakikufunga minyororo shingoni wewe na wajukuu zako utajiona wa maana kisa alokufunga ni vijukuu vya mtume