Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kumekucha kumekucha mzee saidi wazazi wake kukosa royal family za viongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi niko JF mwaka mmoja mbele yako. Sizungumzii kukuona jf bali huko media zingine. Ukweli ni kwamba watu wazima wanavumiliana. Hivyo nawe pia wanakuvumilia. Wewe ni kina mwaipopo uliyepoaRaia...
Umechelewa kuniona.
Mimi mwezi huu nafikisha miaka 72.
Mimi ni mzee.
Niko JF toka 2008 kwa jina langu halisi na kwa picha.
Nashangaa hujaniona.
Ningekuwa na chuki singeweza kuwagusa wachapaji vitabu, media, vyuo vikuu na watu wa kawaida.
Nimeandika mchango wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika kama "field of enquiry."
Kitabu kinevutia wengi sana na mazungumzo yangu katika historia hii yamekuwa mashuhuri.
Hakuna udini hapo.
Kuliko wewe uliyemjibu ??Aisee... Nilikuona kupitia tv kumbe wewe ni ntu mzima vizuri tu tatizo una utoto mwingi uliojificha kwenye chuki za kiimani. Wewe mzee ni mdini waziwazi. Shida sana
🚮🚮🚮
Raia...Mi niko JF mwaka mmoja mbele yako. Sizungumzii kukuona jf bali huko media zingine. Ukweli ni kwamba watu wazima wanavumiliana. Hivyo nawe pia wanakuvumilia. Wewe ni kina mwaipopo uliyepoa
Sawa, ila subconsciously una udini. Wewe ni mwanaharakati wa historia ya uislam dhidi ya ukristu (ukatoliki).Raia...
Wakati mwingine hujiuliza niseme nini?
Labda ni kwa kutofahamiana.
Nimezungumza vyuo vikuu vingi ndani na nje ya mipaka yetu.
Radio zote kubwa na TV ndani na nje ya mipaka yetu zimeomba mahojiano nami: BBC, DW, VoA, Radio Tehran, SABC.
Hawa wote wananivumilia mimi?
AZAM, TBC na FM Stations sijui hata hesabu yake.
Online...
Wanamvumilia Mohamed Said...
Mahojiano mengi na Hamza Kassongo na Mohamed Ghassani...
Ingia YouTube.
View attachment 2890766
VoA Washington DC
View attachment 2890768
AZAM TV
View attachment 2890772
View attachment 2890773
Northwestern University, Chicago
Mi niko JF mwaka mmoja mbele yako. Sizungumzii kukuona jf bali huko media zingine. Ukweli ni kwamba watu wazima wanavumiliana. Hivyo nawe pia wanakuvumilia. Wewe ni kina mwaipopo uliyepoa
Raia,Sawa, ila subconsciously una udini. Wewe ni mwanaharakati wa historia ya uislam dhidi ya ukristu (ukatoliki).
Kaka...kumekucha kumekucha mzee saidi wazazi wake kukosa royal family za viongozi
Wewe wanakutafuna kweli mbona lipumba nae hakuunga mkono bandari kupewa waarabu mpumbavu wewe?
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam.
Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni hadi kufikia hili la bandari kupewa "Waarabu," katika Tanganyika huru.
TEC imefedheheka na hili limewaumiza na kwa mara ya kwanza wameshindwa kupata walichotaka kama ilivyokuwa mazoea.
Hawa walikuwa wakikataa kitu basi hakipiti.
Hawakuitaka EAMWS.
Hawakuitaka OIC.
Hawakuitaka Mahakama ya Kadhi.
Hili la bandari hawakulitaka kama ilivyo kawaida.
Wameshindwa safari hii kwa mara ya kwanza.
"Waarabu" wamekabidhiwa bandari.
Imekuwaje kwa TEC kushindwa?
Imeshindwa kwa sababu kuu moja ingawa zipo nyingi.
Hapa nitaeleza hii sababu moja kuu.
Waislam katika sakata la bandari walijikusanya pamoja na kujiweka mbali sana na wale ambao kila wamuonapo "Mwarabu" wao wanauona Uislam ambao lazima upigwe vita kwa hali yoyote ile.
Lakini kulikuwa na kitu kilichoongeza ladha katika kachumbari iliyokuwa ikitengenezwa na TEC.
Waliokuwa wanapinga Waarabu kuendesha bandari walikuwa wa imani moja na pamoja na CHADEMA.
Mifano iko mingi lakini hapana haja kueleza yote hapa.
Waislam kimya kimya wakaiunganisha CHADEMA katika orodha yao.
Chama hiki kikawekwa kundi moja na TEC na hii haikuwa kazi kubwa ya kumtoa mtu jasho la kwapa.
Ndani ya serikali na CCM kuna watu waliona mapema kabisa asubuhi kuwa nchi imeshagawanyika mapande mawili katika misingi ya imani.
Walio ndani ya serikali na CCM iliwadhihirikia kuwa Waislam wamejitenga wako mbali na wanaowapiga vita "Waarabu" na kwa mara ya kwanza kwa namna ya ajabu kabisa Waislam wakawa wanasubiri muda uwadie wapambane na TEC na mwenza wake CHADEMA.
Zikavuja taarifa kuwa Waislam nje ya BAKWATA wanajiandaa kwenda mahakamani kuhoji mengi yanayowasibu ndani ya serikali.
Waliokuwa serikalini na CCM walitambua watuhumiwa watakuwa nani.
Wenye akili zilizotimia ndani ya serikali na CCM haraka wakajiuliza tumefikaje hapa?
Hawa Waswahili si ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika hadi ukapatikana?
Wenye akili timamu wakatambua vipi wamefika hapo.
Waingereza wana msemo, "You do it once too often."
Wakatoliki wamejidekeza kupita kiasi kwa kuhodhi kila kitu kuanzia serikali yenyewe, bunge, vyama vya siasa na kila kitu bila ya kukutana na kizingiti chochote.
Waislam wako nje na katika hili la "Waarabu," na bandari wamejiweka pembeni makusudi ili Ukristo ndani ya Tanzania ujivue nguo wenyewe hadharani.
Wametishika na wakarudi nyuma.
Hatari iliyokuwa inawakabili waliitambua.
Serikali ikatimiza maamuzi yake.
Taifa likabakia limetulia.
Kanisa likabakia limefedheheka.
Ile nguvu waliyodhani bado TEC inayo kumbe haipo tena.
TEC bila shaka imejiuliza baada ya haya nini kitafuatia?
Sababu ya kushindwa kwao wanaijua fika.
Sasa msemaji anasema Vatican siyo iliyomwalika Rais wa Tanzania bali serikali imeombwa ialikwe Vatican.
Nani mwenye kawaida ya kuongopa?
Kinachotafutwa hapa ni kujaribu kujifuta tope baada ya kuanguka.
Inataka ieleweke kuwa Rais wa Tanzania ana hofu na amejisalimisha Vatican.
Msemaji ananadi kuwa Kanisa Katoliki lina nguvu si watu wa kupuuzwa.
Ukweli ni kuwa hakika Kanisa limehodhi serikali kwa uwiano wa 80% kwa 20%.
Hali hii leo si mtaji tena kwao kwa sababu zilizo wazi kwani mengi yasiyopendeza yanaelezwa dhidi ya Kanisa na hatari yake ishajitokeza.
TEC imedhoofika bila yenyewe kutambua.
Hii ndiyo sababu ya TEC na CHADEMA kujikuta wako peke yao katika sakata la bandari na vita yao dhidi ya "Waarabu."
Iwe iwavyo hali ya siasa imebadilika.
Hizi propaganda kuwa Rais wa Tanzania ana hofu hazitasaidia kitu.
Zinaweza zikaamsha makubwa ambayo hawayategemei.
Zinaweza hizi propaganda pengine zikazua makubwa kuliko ule ukimya walioonesha Waislam wakati wa sakata la bandari.
Wasisahau ukimya mwingi una kishindo.
Zungumzia wanachama wa TANU sio kila saa waislam waislam napatatabu na dini yako ina some sort of inferiority complexMbussi,
Ilikuwaje basi historia hii ya mashujaa hawa waliopigania uhuru wa Tanganyika ikawa haisomeshwi?
Leo historia hii imekusanywa na kuandikwa kwa nini inapigwa vita?
Nyio...Zungumzia wanachama wa TANU sio kila saa waislam waislam napatatabu na dini yako ina some sort of inferiority complex
Raia...
Wakati mwingine hujiuliza niseme nini?
Labda ni kwa kutofahamiana.
Nimezungumza vyuo vikuu vingi ndani na nje ya mipaka yetu.
Radio zote kubwa na TV ndani na nje ya mipaka yetu zimeomba mahojiano nami: BBC, DW, VoA, Radio Tehran, SABC.
Hawa wote wananivumilia mimi?
AZAM, TBC na FM Stations sijui hata hesabu yake.
Online...
Wanamvumilia Mohamed Said...
Mahojiano mengi na Hamza Kassongo na Mohamed Ghassani...
Ingia YouTube.
View attachment 2890766
VoA Washington DC
View attachment 2890768
AZAM TV
View attachment 2890772
View attachment 2890773
Northwestern University, Chicago
Sheikh Mohamed Said, naomba kujua, faida ambazo tungepata kwa kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi ni zipi katika nchi yetu hii ya JMT?
Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam.
Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni hadi kufikia hili la bandari kupewa "Waarabu," katika Tanganyika huru.
TEC imefedheheka na hili limewaumiza na kwa mara ya kwanza wameshindwa kupata walichotaka kama ilivyokuwa mazoea.
Hawa walikuwa wakikataa kitu basi hakipiti.
Hawakuitaka EAMWS.
Hawakuitaka OIC.
Hawakuitaka Mahakama ya Kadhi.
Hili la bandari hawakulitaka kama ilivyo kawaida.
Wameshindwa safari hii kwa mara ya kwanza.
"Waarabu" wamekabidhiwa bandari.
Imekuwaje kwa TEC kushindwa?
Imeshindwa kwa sababu kuu moja ingawa zipo nyingi.
Hapa nitaeleza hii sababu moja kuu.
Waislam katika sakata la bandari walijikusanya pamoja na kujiweka mbali sana na wale ambao kila wamuonapo "Mwarabu" wao wanauona Uislam ambao lazima upigwe vita kwa hali yoyote ile.
Lakini kulikuwa na kitu kilichoongeza ladha katika kachumbari iliyokuwa ikitengenezwa na TEC.
Waliokuwa wanapinga Waarabu kuendesha bandari walikuwa wa imani moja na pamoja na CHADEMA.
Mifano iko mingi lakini hapana haja kueleza yote hapa.
Waislam kimya kimya wakaiunganisha CHADEMA katika orodha yao.
Chama hiki kikawekwa kundi moja na TEC na hii haikuwa kazi kubwa ya kumtoa mtu jasho la kwapa.
Ndani ya serikali na CCM kuna watu waliona mapema kabisa asubuhi kuwa nchi imeshagawanyika mapande mawili katika misingi ya imani.
Walio ndani ya serikali na CCM iliwadhihirikia kuwa Waislam wamejitenga wako mbali na wanaowapiga vita "Waarabu" na kwa mara ya kwanza kwa namna ya ajabu kabisa Waislam wakawa wanasubiri muda uwadie wapambane na TEC na mwenza wake CHADEMA.
Zikavuja taarifa kuwa Waislam nje ya BAKWATA wanajiandaa kwenda mahakamani kuhoji mengi yanayowasibu ndani ya serikali.
Waliokuwa serikalini na CCM walitambua watuhumiwa watakuwa nani.
Wenye akili zilizotimia ndani ya serikali na CCM haraka wakajiuliza tumefikaje hapa?
Hawa Waswahili si ndiyo waliopigania uhuru wa Tanganyika hadi ukapatikana?
Wenye akili timamu wakatambua vipi wamefika hapo.
Waingereza wana msemo, "You do it once too often."
Wakatoliki wamejidekeza kupita kiasi kwa kuhodhi kila kitu kuanzia serikali yenyewe, bunge, vyama vya siasa na kila kitu bila ya kukutana na kizingiti chochote.
Waislam wako nje na katika hili la "Waarabu," na bandari wamejiweka pembeni makusudi ili Ukristo ndani ya Tanzania ujivue nguo wenyewe hadharani.
Wametishika na wakarudi nyuma.
Hatari iliyokuwa inawakabili waliitambua.
Serikali ikatimiza maamuzi yake.
Taifa likabakia limetulia.
Kanisa likabakia limefedheheka.
Ile nguvu waliyodhani bado TEC inayo kumbe haipo tena.
TEC bila shaka imejiuliza baada ya haya nini kitafuatia?
Sababu ya kushindwa kwao wanaijua fika.
Sasa msemaji anasema Vatican siyo iliyomwalika Rais wa Tanzania bali serikali imeombwa ialikwe Vatican.
Nani mwenye kawaida ya kuongopa?
Kinachotafutwa hapa ni kujaribu kujifuta tope baada ya kuanguka.
Inataka ieleweke kuwa Rais wa Tanzania ana hofu na amejisalimisha Vatican.
Msemaji ananadi kuwa Kanisa Katoliki lina nguvu si watu wa kupuuzwa.
Ukweli ni kuwa hakika Kanisa limehodhi serikali kwa uwiano wa 80% kwa 20%.
Hali hii leo si mtaji tena kwao kwa sababu zilizo wazi kwani mengi yasiyopendeza yanaelezwa dhidi ya Kanisa na hatari yake ishajitokeza.
TEC imedhoofika bila yenyewe kutambua.
Hii ndiyo sababu ya TEC na CHADEMA kujikuta wako peke yao katika sakata la bandari na vita yao dhidi ya "Waarabu."
Iwe iwavyo hali ya siasa imebadilika.
Hizi propaganda kuwa Rais wa Tanzania ana hofu hazitasaidia kitu.
Zinaweza zikaamsha makubwa ambayo hawayategemei.
Zinaweza hizi propaganda pengine zikazua makubwa kuliko ule ukimya walioonesha Waislam wakati wa sakata la bandari.
Wasisahau ukimya mwingi una kishindo.
Ise...Sheikh Mohamed Said, naomba kujua, faida ambazo tungepata kwa kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi ni zipi katika nchi yetu hii ya JMT?
Swali langu huwa ni moja tu sheikh. Kwa nini inashindikana kwa sasa kuanzisha tena mahakama ya kadhi? Na kuna juhudi zozote za waislam kudai mahakama ianziswe na ni upi msimamo wa serikali?Ise...
Tungeanza na lile la kwanza.
Mahakama ya Kadhi ilikuwako toka zamani.
Halikuwa suala la kuanzisha bali kurejesha Mahakama ya Kadhi.
Wajerumani wamezikuta halikadhalika Waingereza.
Hawakuvunja.
Mahakama ya Kadhi ikavunjwa na serikali huru ya Tanganyika.
Faida gani imepatikana kwa kuvunja Mahakama ya Kadhi?
Massa,Swali langu huwa ni moja tu sheikh. Kwa nini inashindikana kwa sasa kuanzisha tena mahakama ya kadhi? Na kuna juhudi zozote za waislam kudai mahakama ianziswe na ni upi msimamo wa serikali?
Massa,
Waliovunja Mahakama ya Kadhi hawataki kuirejesha Mahakama ya Kadhi.
Massa,Ambao ni kanisa katoliki sio? Kwa hiyo mnaendeswa na kanisa? Na kama sio kanisa ni kina nani? Sisi wengine hatukuwepo wakati inavunjwa
Massa,
Unataka nijibu hayo maswali unaeleza kitu?