Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

Lazima tushtuke
Juzi kati wameruhusu ushoga, lakini hizi mbuzi za TEC zimekula kobis,
Lakini kwenye DP World walijifunga kibwebwe
Na kweli walijifikiria wana uzito fulani, waliadhirishwa sana na Mpoto
Mpaka leo kimya, tunataka watoe kauli kuhusu ushoga
 
Mzee, hebu rudia Tena kusoma ulichoandika na ikiwezekana utafute Mtu apitie upya ulichoandika kabla ya kukileta hapa jukwaani
Sahihi kilichokuwa kinapigiwa kelele sio dini ya mtu kuwa ni katoliki au mwislamu Wala rangi ya mtu kama ni mweusi,Mwarabu au mpemba kilichokuwa kinapingwa ni mkataba mbovu Serikali ilikuwa imeingia na bunge kuridhia
Na kelele zilisaidia marekebisho yakafanyika

Mleta mada naoana kajichanganya kaamua kuusilimisha mkataba wa kibiashara kuwa muislamu

Mikataba Huwa hausilimishwi wanasilimishwa binadamu
 
With all due respect kwa wewe Mzee wangu andiko lako lina walakini mkubwa sana! Halitoshi na halikidhi na halifanani na hadhi yako!
Bado nachelea kuamini kama uliandika kwa mkono wako ama uliandikiwa!
 
Hana lolote msomi wa madras tu huyo. Kashindwa kujieleza Azam TV wakati wa Mapinduzi ndio nilimuignore rasmi siku ile.
 
Shot...
Historia ya Kanisa na Waislam wa Tanganyika ina mengi sana yanayosababisha wasiwasi na historia inayoanza baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961.
 
Shot...
Historia ya Kanisa na Waislam wa Tanganyika ina mengi sana yanayosababisha wasiwasi na historia inayoanza baada ya uhuru kupatikana mwaka wa 1961.
Raisi Kikwete aliwahi kusema Mtu hatakiwi kuwa mtumwa wa Historia

Anyway wakatoliki ni namba nyingine fikiria hata nchi yenye waislamu wa siasa Kali kama Iran Wana ubalozi na Balozi Vatican na Vatican

Kuna biashara Gani kati ya Vatican na Iran?

Wakatoliki Taifa kubwa
 
Unafananisha maembe na makande,
Kungekuwa na picha Nyerere aliyopiga na EAWMS ndio ungepaswa kuuliza picha aliyopiga na Baraza la maaskofu pia,
Ni ujuha kuifananisha TANU na baraza la maaskofu.
 

Issue ya bandari waislamu ndio wameshinda? Put this in the records ili siku moja usibadilike. Huu wasiwasi wa Vatican kuongoza Tanzania ni wa kufikirika.
Kuna watu huwa wanapata "midadi" ukiwasogelea na kupiga kelele, uswahilini tunasema kuwajambisha. Na mtu anaweza kutatizika sana ukifanya jambo hilo karibu naye sababu linamfanya afanye mambo tofauti. Anakuwa controlled na kelele zile.
Wewe mzee, ukatoliki unakupa wakati mgumu kama wale jamaa wenye midadi ambao bila kuguswa, ila kwa sabaabu za kelele zile wanataabika kabisa.
Tunapokuwa na umri mkubwa, hekima inatuasa kujua namna ya kuishi vema na wanadamu wenzetu maana hatuji siku wala saa. Unafiki unaoufanya una mwisho. Na unajua kwanini wahusika huwa hawakujibu wanapiga mambo yao kimya kimya? Sababu debe tupu, haliachji kutika.
Ulioandika hapo ni upuuzi mtupu.
 
Tanga...
Nimeanza kuandika nikiwa kijana mdogo sana.

Naweza kukuwekea hapa ushahidi wa makala zangu tena zikichapwa na New African na Africa Events majarida yaliyokuwa na makao makuu London.

Hii ni katika miaka ya 1980s.
Si kama naandika leo kwa kuwa mimekuwa mzee.

Mimi si wa kufunzwa kuishi kwa wema na ihsani na watu.

Hayo ya wema na ihsani ndiyo yaliyonisukuma mimi ninyanyue kalamu niandike historia ya uhuru wa Tanganyika na mchango wa Waislam.

Nimeandika haya kukumbusha wema na ihsani ya wazee wetu kwa wote waliokuwapo katika harakati za kudai uhuru.

Wakati naandika historia hiyo hali nchini petu ilikuwa ya kusikitisha sana.

Kubwa ni kuwa historia ya uhuru ilikuwa imefutwa na pamoja kufutwa kwa historia hii udugu uliokuwapo katika jamii hakuwepo tena.

Utangamano ndani ya jamii ulikuwa umetoweka.

KItabu changu: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' London 1997) kilibadili historia iliyokuwapo.

Angalia picha hizo hapo chini.
Unapata ujumbe gani?





Tanga...
Unaniita mimi mnafiki kwa kuandika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika, historia ambayo ilifutwa na heshima ya wazee wangu ikatoweka kwa kifutio hicho?

Unasema hawanijibu.
Nani wa kujibu historia hii?

Huu mwaka wa 25 robo karne toka kitabu kichapwe na kinakwenda toleo la tano.

Hakuna aliyenyanyua kalamu yake kujibu historia hii.
Sijapata kuwa debe tupu lenye kelele wala sijapata kuwa mpuuzi.

Nikiandika watu wanakuja kunisoma na kutaka mjadala na mimi.
Ningekuwa mpuuzi wangenipuuza.

Niko hapa nasomesha yale ambayo hamkuwa mnayajua.
Niambie kweli yako kama kabla ya mimi kuandika haya ulipata kuyajua?

Niambie kama kabla ya mimi kuweka picha hizi hapa ulikuwa umeshaziona kwengine?

 
Kwani ushoga ni kitu kigeni tz
Walikuwaga mashoga dar wakina anty mudy,au ulikuwa hjazaliwa

Ova
 
Bado unaandika upuuzi
 
Kwani ushoga ni kitu kigeni tz
Walikuwaga mashoga dar wakina anty mudy,au ulikuwa hjazaliwa

Ova
Wapo wengi tu hata mapadri wanafirimba watoto mashuleni kwa kasi ya 5g, ndio maana papa akaona waamue kuruhusu.
Lakini wafanyane hukohuko makanisani, wasituletee huu ushenzi kwenye jamii zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…