Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

Unadhihirisha tu mada yenyewe mkuu.
Hatuendi kwa maslahi binfsi, tunataka Tanzania ya next level, si ya machinga na bodaboda.
Huko ni kukosa viwango.
utapataje Tanzania ya next level wakati asili 80 ya watanzania ni maskini, wanaishi kutafuta ela ya Kodi na kula. Mambo mengine huwa yanakuja automatically
 
Huu uzi ni taka taka kabisa, kila mtu yupo huru kutumia chombo Cha usafiri anachokimudu sehemu yoyote ile ya nchi bila kumzuia, kukataza boda boda kuingia katikati ya mji ni upumbavu wa kiwango Cha SGR, Kuna watu wanajiona sana kwa MBA nch ni ya kwao hii.
Na wanajiona wametimia kwa kila hali...alieshiba hamjui mwenye njaa...wawekewe utaratibu tu nao wanasaka ridhki wakimtoa abiria huku vichochoroni wakamleta mfano posta kwa elfu 10 dau ni kubwa mtu anakua tayari kashapa hesabu ya boss anatafuta ridhki ya kula Ila Sasa akibaki huku vichochoroni kuunga mtihani.
 
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Slaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...
Hii upuuzi wa kutaka watu wajifanyie mambo hovyo hovyo sio sawa..

Wadau wakiwamo boadaboda walikutana na ndio wakaweka utaratibu..

Hii ni tabia ya kijinga ya kuishi kwenye kivuli cha Mwendazake aliyeshindwa kuendesha uchumi na kuruhusu uholela ni utoto..

Lazima tuwe ya utaratibu na mambo haya ndio yanasumbua huko kwa machinga..

Nina hakika hata CDM wakipata serikali leo lazima watataka utaratibu ufuatwe tena kuliko ilivyo sasa chini ya CCM..

Kwa hiyo sielewi hao ccm huwa wanatetea nini na huyo Waziri Bashungwa ndio kabisaa kila anachoambiwa anafanya tuu bila kufuata utaratibu..Mambo haya yakomeshwe.
 
Borelesheni maisha kwa kila mtanzania kila mtu angalau awe na uwezo wa kununua gari ya kuingia nayo Kati Kati ya mji ila bila ivyo anaeleta huo ushauri wa kuzuia boda boda Kati Kati ya mji ni taka taka.
Kila mtu akiwa na gari boda boda ,bajaj na hao walemavu kibarua watakuwa hawana.utawapeleka wapi
 
... sheria ya mipango miji inasema kuhusu usafiri mijini? Kama haiwatambui bodaboda na bajaji waondolewe wala haihitaji mjadala; lau kama haiwatambui na kuna umuhimu wa wao kutoa huduma mijini sheria iboreshwe watambuliwe rasmi; that simple...
He is seeking Political Mileage.
Nonsense tu.
Wanasababisha na kupata sana ajali.
Wanaleta Kero barabarani.
Chanzo cha wezi wa kukwapua.
Bodaboda zinasaidia sana kwa nje ya miji na sio katikati ya miji na hasa majiji makubwa ni kero tu.
Sio mbadala kabisa wa mass transportation,ila ni kisababishi kimoja wapo cha congestion tu.
Viongozi wengi sio critical thinkers.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza tuanzie kwenye kujadili machinga ni nani? Bado unaweza ukawa kiongozi mkubwa tu ukawa machinga! Unatoka nchi hii unaenda hii!!
Ukitumia brain kwa rasilimali zilizokuzunguka mbona uchinga unaachana nao?
 
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...
uchaguzi wa 2025 unawapa kiwewe maana wanajua kumbakumba ya upinzani inaweza ikawapitia. Na wanajua vijana walimpenda jpm kwa sababu aliruhusu bodaboda na machinga kila mahali
 
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...

Si bodaboda tu hata machinga wanayo haki hiyo hata wao machinga watarudi taratibu unless CCM hawataki kura 2025 za watu wanataka za maroboti.

Bodaboda wamesaidia sana katika usafiri wa haraka na rahisi katika kutekeleza majukumu ya watu wa kutosha ya kila siku. Tuache kuwa wabinafsi tuangalie faida ntambuka za boda boda.
 
Huyu mbunge asiye na viwango anataka ku maintain poverty status quo ili ajihakikishie kura za boda boda.
Watu kama hawa hawatufai.
Kabisa badala apiganie masuhala muhimu kwa vijana anapigania boda na bajaj!! Na kwa utafiti upibkwamba wakiondolewa ktkt ya jiji biashara yao itaanguka? Anatafuta kura za huruma!! Mwendazake ametuachia watu wa ajabu ajabu wengi! Watu wastaarabu wanatafutwa kwa tochi
 
utapataje Tanzania ya next level wakati asili 80 ya watanzania ni maskini, wanaishi kutafuta ela ya Kodi na kula. Mambo mengine huwa yanakuja automatically
Huwezi pata mandeleo with a backward thinking outlook.
 
Kabisa badala apiganie masuhala muhimu kwa vijana anapigania boda na bajaj!! Na kwa utafiti upibkwamba wakiondolewa ktkt ya jiji biashara yao itaanguka? Anatafuta kura za huruma!! Mwendazake ametuachia watu wa ajabu ajabu wengi! Watu wastaarabu wanatafutwa kwa tochi
Huyu mbunge kijana Jerry Slaa, amefikia mwisho wa umhimu wake kwa jiji la DSM.
He is no longer forward thinking.
 
Mleta uzi amejaa ubinafsi Sana

Hivi umefikiria watu wangap wamejiajir kupitia hizo bidaboda hapo town

Mmevunja biashara za watu hapo town bado haitosh unawafukuza bidaboda

Kuwe na mpango maalum wa kuwapanga hao bidaboda kwenye miji yote na sio kuwafukuza

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umetoka huko Peramiho kijijini halafu unaingia mjini nawe unataka haki yako?

Miji ina taratibu, tena za kibaguzi kabisa, ninyi mliozaliwa jana hamjui kuwa kama huna kitambulisho , kwanza ni mzururaji na sheria inakuhusu.
Pili , biashara hata hiyo ya bodaboda almost 80% hawana liseni ya kuendeshea na pili hawana hata liseni ya biashara.
Tatu, ni hizo kero za kukwapua mifuko ya kina mama, ajali za kwao wenyewe hivyo kuzipa athari hospitali zetu kwa matibabu yasiyo ya lazima.
Kusababisha ajli na vyombo vingine kila siku.
Nne, tuonyeshe kodi zinazoingizwa na bodaboda serikalini.

Sasa hapo mbinafsi nani?
 
Kabla ujafikiria kuwaondoa bodaboda,

Tupe mbadala wa hao bodaboda
-kiuchumi
-kisiasa
-kiusalama

Unapocriticize na kutaka waondolewe,
jua
1. Kiuchumi:
unagusa Kaya Zaid ya 70% ya Watu masikini jijini dar wanaowategemea boda boda kwa kipato.

2. Kisiasa
Unagusa wakura Kaya Zaid ya 70% ya Watu wanaowategemea bodaboda

3. Kiusalama,
Hapa Usitake kujazia vibaka mitaani kwasababu wewe umeshiba tayar uko kwenye v8 ya serikali
 
Borelesheni maisha kwa kila mtanzania kila mtu angalau awe na uwezo wa kununua gari ya kuingia nayo Kati Kati ya mji ila bila ivyo anaeleta huo ushauri wa kuzuia boda boda Kati Kati ya mji ni taka taka.
Sahii kabisa
 
pikipiki kama pikipiki hazina shida,shida ni madereva type ya akina @DonNalimison
 
Kabla ujafikiria kuwaondoa bodaboda,

Tupe mbadala wa hao bodaboda
-kiuchumi
-kisiasa
-kiusalama

Unapocriticize na kutaka waondolewe,
jua
1. Kiuchumi:
unagusa Kaya Zaid ya 70% ya Watu masikini jijini dar wanaowategemea boda boda kwa kipato.

2. Kisiasa
Unagusa wakura Kaya Zaid ya 70% ya Watu wanaowategemea bodaboda

3. Kiusalama,
Hapa Usitake kujazia vibaka mitaani kwasababu wewe umeshiba tayar uko kwenye v8 ya serikali
Huo ni mtazamo wako.
Kama unazo za kukutosha basi unge argue kwa msimao huo, kwamba hata machinga warudi CBD.
 
Back
Top Bottom