Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Leta theory zako za kuleta maendeleo , na zangu tuone nani zaidi.Huwezi pata mandeleo with a backward thinking outlook.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta theory zako za kuleta maendeleo , na zangu tuone nani zaidi.Huwezi pata mandeleo with a backward thinking outlook.
Sibishani na watoto!Leta theory zako za kuleta maendeleo , na zangu tuone nani zaidi.
Weng wa wabunge aina ya Jerry Slaa ni petty thinkers.Tatizo mambo ya msingi yanajadiliwa ili mtu aonekane bungeni katoa hoja.Fikiri et bunge lisimame kuwajadili boda2.
Huku chini hakuna mipango miji wakupeleka hoja hatua kwa hatua bila kuwaathiri wanyonge?
Wekeni taratibu na mipango yenye balance.Ipo siku mtajadili boda2 wasiende choo za katikati ya jiji ili wasijisaidie
Tatizo letu ni wanasiasa uchwara na Katiba yetu hii miji ingeachwa ktk mikono ya Mameya waao chaguliwa na wananchi na wanao wawajibisha kuna mambo mengi ya ubunifu yangekuwa tunayaona! Hatuwezi kuwa na miji misafi na iliyopangiliwa kwa holela tunayo iona sasa! Siyo bajaj na boda tu tulitakiwa tayari tumepiga marufuku Coaster kuingia ktk ya jiji. Zingebakia DART na daladala mabasi makubwa kama ya DART. Hatushindwi bali uongozi hatuna!Umetoka huko Peramiho kijijini halafu unaingia mjini nawe unataka haki yako?
Miji ina taratibu, tena za kibaguzi kabisa, ninyi mliozaliwa jana hamjui kuwa kama huna kitambulisho , kwanza ni mzururaji na sheria inakuhusu.
Pili , biashara hata hiyo ya bodaboda almost 80% hawana liseni ya kuendeshea na pili hawana hata liseni ya biashara.
Tatu, ni hizo kero za kukwapua mifuko ya kina mama, ajali za kwao wenyewe hivyo kuzipa athari hospitali zetu kwa matibabu yasiyo ya lazima.
Kusababisha ajli na vyombo vingine kila siku.
Nne, tuonyeshe kodi zinazoingizwa na bodaboda serikalini.
Sasa hapo mbinafsi nani?
Basi wewe ni mtu mzima , Ambaye ni mbinafsi, Inawezekana umri ni namba tu, Mana hata watu wazima mnakosa busara.Sibishani na watoto!
Hatuendi kwa maslahi binfsi, tunataka Tanzania ya next level, si ya machinga na bodaboda.
Huko ni kukosa viwango.
Hii ndo point ya msingi sana.Kumwendeleza Mtanzania aliyezoea na aliyedhamiria kuishi kimasikini , taabu kwer kwer
Ukiona popote mtu mzima ametundikwa antenna miguuni nijulishe.Basi wewe ni mtu mzima , Ambaye ni mbinafsi, Inawezekana umri ni namba tu, Mana hata watu wazima mnakosa busara.
PointTatizo letu ni wanasiasa uchwara na Katiba yetu hii miji ingeachwa ktk mikono ya Mameya waao chaguliwa na wananchi na wanao wawajibisha kuna mambo mengi ya ubunifu yangekuwa tunayaona! Hatuwezi kuwa na miji misafi na iliyopangiliwa kwa holela tunayo iona sasa! Siyo bajaj na boda tu tulitakiwa tayari tumepiga marufuku Coaster kuingia ktk ya jiji. Zingebakia DART na daladala mabasi makubwa kama ya DART. Hatushindwi bali uongozi hatuna!
Kuna viongozi ni very backward thinking.Hii ndo point ya msingi sana.
Mleta uzi ni miongoni mwa wajinga wachache wanaolisababishia taifa hasara na kukosa maendeleo.Tanzania ya Next Level haiwezi kuja kwa Thinking ya kuzuia Boda boda mjini..
Itakuja kwa thinking ya kuzuia ongezeko la hao boda boda,,, kwa kuongeza ajira na kukuza Viwanda ili watu waachane na boda wakajenge taifa huko...
Taja kero moja ya kiuchumi kwa taifa inayoletwa na boda boda kuingia mjini...!!?????
Dogo kujua kuendesha bidabida basi uundiwe siasa ya uj amaa na kujitegemea?Leta theory zako za kuleta maendeleo , na zangu tuone nani zaidi.
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam.
Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea baodaboda kuendelea kuwa kero katikati ya miji mingi nchini.
Siyo siri bodaboda ni kero kubwa, hawafuati sheria popote pale, si barabarani mijini wala vijijini.
Uliza wenye magari waliovunjiwa vioo-rear sight mirrors.
Waliokwaruzwa ubavuni.
Mishkaki ndo usiseme, kwenye traffic lights polisi walisha nyoosha mikono.
Wabunge wetu wanakosa viwango katika kutatua masuala ya mass transport.
Bodaboda haiwezi kuwa mbadala wa mass transport.
Tufikirie katika muelekeo huo, na wabunge wetu lazima kuwa critical thinkers, na si kuwa madalali wa kura kurudi bungeni tu.
Wengine wanaona bodaboda kama mtaji wa kisiasa.
Sasa katika ufinyu tu wa kufikiri, MACHINGA KWA NINI TULIWAONDOA?
Watanzania tunashindwa kuvumilia hii double standards.
mikokoteni iruhusiwe nayo maana inasaidia sana watu wa hali ya chini sio bodaboda na bajaj pekee, Acheni u-double standard wenu !! Kama sio basi wazuiwe wote !!Ni takataka kwa msio na viwango.
Kesho mtaingiza mikokoteni mjini.
Na watarudi tu ! Just a matter of time !!!Hawatakuelewa hata kidogo maana wanataka na wamachinga warudi
Miji hsikujengwa kwa ajili ya watu masikini tu, ina ustaarabu na taratibu zake.Na m
mikokoteni iruhusiwe nayo maana inasaidia sana watu wa hali ya chini sio bodaboda na bajaj pekee, Acheni u-double standard wenu !! Kama sio basi wazuiwe wote !!
Dogo mm babaako ujue nipo jj hil toka enz za mkuu wamkoa mzee songambeleUmetoka huko Peramiho kijijini halafu unaingia mjini nawe unataka haki yako?
Miji ina taratibu, tena za kibaguzi kabisa, ninyi mliozaliwa jana hamjui kuwa kama huna kitambulisho , kwanza ni mzururaji na sheria inakuhusu.
Pili , biashara hata hiyo ya bodaboda almost 80% hawana liseni ya kuendeshea na pili hawana hata liseni ya biashara.
Tatu, ni hizo kero za kukwapua mifuko ya kina mama, ajali za kwao wenyewe hivyo kuzipa athari hospitali zetu kwa matibabu yasiyo ya lazima.
Kusababisha ajli na vyombo vingine kila siku.
Nne, tuonyeshe kodi zinazoingizwa na bodaboda serikalini.
Sasa hapo mbinafsi nani?