masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
- Thread starter
-
- #21
Huyu mbunge asiye na viwango anataka ku maintain poverty status quo ili ajihakikishie kura za boda boda.View attachment 2196170
Huyu dogo hana viwango kweli.
Next atatetea kupinga msimamo wa mama Samia kuondoa machinga Jijini.
utapataje Tanzania ya next level wakati asili 80 ya watanzania ni maskini, wanaishi kutafuta ela ya Kodi na kula. Mambo mengine huwa yanakuja automaticallyUnadhihirisha tu mada yenyewe mkuu.
Hatuendi kwa maslahi binfsi, tunataka Tanzania ya next level, si ya machinga na bodaboda.
Huko ni kukosa viwango.
Na wanajiona wametimia kwa kila hali...alieshiba hamjui mwenye njaa...wawekewe utaratibu tu nao wanasaka ridhki wakimtoa abiria huku vichochoroni wakamleta mfano posta kwa elfu 10 dau ni kubwa mtu anakua tayari kashapa hesabu ya boss anatafuta ridhki ya kula Ila Sasa akibaki huku vichochoroni kuunga mtihani.Huu uzi ni taka taka kabisa, kila mtu yupo huru kutumia chombo Cha usafiri anachokimudu sehemu yoyote ile ya nchi bila kumzuia, kukataza boda boda kuingia katikati ya mji ni upumbavu wa kiwango Cha SGR, Kuna watu wanajiona sana kwa MBA nch ni ya kwao hii.
Hii upuuzi wa kutaka watu wajifanyie mambo hovyo hovyo sio sawa..Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Slaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...
Kila mtu akiwa na gari boda boda ,bajaj na hao walemavu kibarua watakuwa hawana.utawapeleka wapiBorelesheni maisha kwa kila mtanzania kila mtu angalau awe na uwezo wa kununua gari ya kuingia nayo Kati Kati ya mji ila bila ivyo anaeleta huo ushauri wa kuzuia boda boda Kati Kati ya mji ni taka taka.
He is seeking Political Mileage.... sheria ya mipango miji inasema kuhusu usafiri mijini? Kama haiwatambui bodaboda na bajaji waondolewe wala haihitaji mjadala; lau kama haiwatambui na kuna umuhimu wa wao kutoa huduma mijini sheria iboreshwe watambuliwe rasmi; that simple...
uchaguzi wa 2025 unawapa kiwewe maana wanajua kumbakumba ya upinzani inaweza ikawapitia. Na wanajua vijana walimpenda jpm kwa sababu aliruhusu bodaboda na machinga kila mahaliNimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam...
Kabisa badala apiganie masuhala muhimu kwa vijana anapigania boda na bajaj!! Na kwa utafiti upibkwamba wakiondolewa ktkt ya jiji biashara yao itaanguka? Anatafuta kura za huruma!! Mwendazake ametuachia watu wa ajabu ajabu wengi! Watu wastaarabu wanatafutwa kwa tochiHuyu mbunge asiye na viwango anataka ku maintain poverty status quo ili ajihakikishie kura za boda boda.
Watu kama hawa hawatufai.
Huwezi pata mandeleo with a backward thinking outlook.utapataje Tanzania ya next level wakati asili 80 ya watanzania ni maskini, wanaishi kutafuta ela ya Kodi na kula. Mambo mengine huwa yanakuja automatically
Huyu mbunge kijana Jerry Slaa, amefikia mwisho wa umhimu wake kwa jiji la DSM.Kabisa badala apiganie masuhala muhimu kwa vijana anapigania boda na bajaj!! Na kwa utafiti upibkwamba wakiondolewa ktkt ya jiji biashara yao itaanguka? Anatafuta kura za huruma!! Mwendazake ametuachia watu wa ajabu ajabu wengi! Watu wastaarabu wanatafutwa kwa tochi
Umetoka huko Peramiho kijijini halafu unaingia mjini nawe unataka haki yako?Mleta uzi amejaa ubinafsi Sana
Hivi umefikiria watu wangap wamejiajir kupitia hizo bidaboda hapo town
Mmevunja biashara za watu hapo town bado haitosh unawafukuza bidaboda
Kuwe na mpango maalum wa kuwapanga hao bidaboda kwenye miji yote na sio kuwafukuza
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sahii kabisaBorelesheni maisha kwa kila mtanzania kila mtu angalau awe na uwezo wa kununua gari ya kuingia nayo Kati Kati ya mji ila bila ivyo anaeleta huo ushauri wa kuzuia boda boda Kati Kati ya mji ni taka taka.
Huo ni mtazamo wako.Kabla ujafikiria kuwaondoa bodaboda,
Tupe mbadala wa hao bodaboda
-kiuchumi
-kisiasa
-kiusalama
Unapocriticize na kutaka waondolewe,
jua
1. Kiuchumi:
unagusa Kaya Zaid ya 70% ya Watu masikini jijini dar wanaowategemea boda boda kwa kipato.
2. Kisiasa
Unagusa wakura Kaya Zaid ya 70% ya Watu wanaowategemea bodaboda
3. Kiusalama,
Hapa Usitake kujazia vibaka mitaani kwasababu wewe umeshiba tayar uko kwenye v8 ya serikali
kwani mikokoteni imeanza lini... mikokoteni ipo kabla hujazaliwaNi takataka kwa msio na viwango.
Kesho mtaingiza mikokoteni mjini.
Kumwendeleza Mtanzania aliyezoea na aliyedhamiria kuishi kimasikini , taabu kwer kwerkwani mikokoteni imeanza lini... mikokoteni ipo kabla hujazaliwa