Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

Tatizo mambo ya msingi yanajadiliwa ili mtu aonekane bungeni katoa hoja.Fikiri et bunge lisimame kuwajadili boda2.
Huku chini hakuna mipango miji wakupeleka hoja hatua kwa hatua bila kuwaathiri wanyonge?
Wekeni taratibu na mipango yenye balance.Ipo siku mtajadili boda2 wasiende choo za katikati ya jiji ili wasijisaidie
 
Weng wa wabunge aina ya Jerry Slaa ni petty thinkers.
They have no vision of a bigger, better picture.
 
Tatizo letu ni wanasiasa uchwara na Katiba yetu hii miji ingeachwa ktk mikono ya Mameya waao chaguliwa na wananchi na wanao wawajibisha kuna mambo mengi ya ubunifu yangekuwa tunayaona! Hatuwezi kuwa na miji misafi na iliyopangiliwa kwa holela tunayo iona sasa! Siyo bajaj na boda tu tulitakiwa tayari tumepiga marufuku Coaster kuingia ktk ya jiji. Zingebakia DART na daladala mabasi makubwa kama ya DART. Hatushindwi bali uongozi hatuna!
 
Hatuendi kwa maslahi binfsi, tunataka Tanzania ya next level, si ya machinga na bodaboda.
Huko ni kukosa viwango.

Tanzania ya Next Level haiwezi kuja kwa Thinking ya kuzuia Boda boda mjini..

Itakuja kwa thinking ya kuzuia ongezeko la hao boda boda,,, kwa kuongeza ajira na kukuza Viwanda ili watu waachane na boda wakajenge taifa huko...

Taja kero moja ya kiuchumi kwa taifa inayoletwa na boda boda kuingia mjini...!!?????
 
Point

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hii ndo point ya msingi sana.
Kuna viongozi ni very backward thinking.
Kama kiongozi anayefikiria tumbo lake, na huyu mbunge wetu Slaa anafikiria tumbo lake wakati wa uchaguzi.
Sitashangaa akitaka machinga na uchafu woote ule warudi Dar ili apate kura nyingi.
 
Mleta uzi ni miongoni mwa wajinga wachache wanaolisababishia taifa hasara na kukosa maendeleo.
 

Hawatakuelewa hata kidogo maana wanataka na wamachinga warudi
 
Na m
Ni takataka kwa msio na viwango.
Kesho mtaingiza mikokoteni mjini.
mikokoteni iruhusiwe nayo maana inasaidia sana watu wa hali ya chini sio bodaboda na bajaj pekee, Acheni u-double standard wenu !! Kama sio basi wazuiwe wote !!
 
Na m

mikokoteni iruhusiwe nayo maana inasaidia sana watu wa hali ya chini sio bodaboda na bajaj pekee, Acheni u-double standard wenu !! Kama sio basi wazuiwe wote !!
Miji hsikujengwa kwa ajili ya watu masikini tu, ina ustaarabu na taratibu zake.
Na hii si Tanzania tu bali nchi zote dunisni.
 
Dogo mm babaako ujue nipo jj hil toka enz za mkuu wamkoa mzee songambele

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…