Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

Miji hsikujengwa kwa ajili ya watu masikini tu, ina ustaarabu na taratibu zake.
Na hii si Tanzania tu bali nchi zote dunisni.
Ni kweli kabisa usemayo ! Tunachokipinga ni u- double standard, ama wakatazwe wote ama waruhusiwe wote !!!
 
Ni kweli kabisa usemayo ! Tunachokipinga ni u- double standard, ama wakatazwe wote ama waruhusiwe wote !!!
Kuna watu wNampinga mama Samia na maboresho yake mijini.
Lazima waumbuliwe, wao wanaweka masilahi yao kisiasa mbele kuliko nchi,
 
Unazungumzia wabunge wapi?

Hawa wa JMT? Au wengine
 
Unazungumzia wabunge wapi?

Hawa wa JMT? Au wengine
Kuna wabunge wanafiki, aina ya Slaa.
Hawafikirii maendeleo kama nchi bali kuchaguliwa 2025.
Mama Samia angekuwa hivyo , asingeshughulikia tatizo la machinga.
 
Usipoa mtaja mwendazake unakuwa kama teja ambae hajapata madawa ya kulevya.
Hebuelezea alivyo shindwakuendesha uchumi na sasa uchumi unaendeshwaje.

Bei ya mahitaji mbalimbali muhimu ikoje na wakati wahuyo mwendazake ilikuwaje.

Wewe kwako uchumi unaoendeshwa vizuri ninini, amaukiruhusiwa kufanya ufisadi ndio unaona uchumi ukovizuri.
 
Umewahi fika Kampala? Mji upo disorganized sababu ya BodaBoda. Huko ulaya kuna Maeneo hata magari hayaruhusiwi watu wanaingia kwa mwendokasi na treni tu yote hayo ni mipango miji kupunguza congestion n.k

Tusiingize siasa kwenye Kila kitu, mbona machinga walikubali kutolewa? Kwani BodaBoda ni muhimu kuliko machinga na mama Ntilie?
 
Kuna watu wamezaliwa mahali dis organised na wanafikiri uholela wowote sawa tu.
Ninachosikitishwa ni huy mbunge Jerry Slaa, kichwa hakina mawazo ya maendeleo.
 
Bei ndio imefanyaje? Bei za 2015 ndio bei za 2022? GDP ya 2010 ndio ya 2022?

Life will never be the same .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…