Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo.
Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe.
Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu bila kuzingatia suala la umbali wa mita 1.
Swali langu ni kuwa, kwanini asitoe msimamo mmoja kama alivyo fanya JPM?
Kama yeye ameamua kuamini kuwepo kwa ugonjwa huo na tahadhari, kwanini yeye anajisahau mara kwa mara?
Au anafanya mambo ili kufurahisha kundi fulani la watu?
By
#Chawa_wa_mama