Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Sasa wakimwona havai barakoa si watajua anaigiza kama alivyofanya kwenye royotuaWewe hujui mmekula shs ngapi na chanjo zimekuja dozen ngapi?.
Hujui mmejenga madarasa, vituo vya afya au mgao kwa Tanganyika na Zanzibar kiasi gani mpaka useme anaigiza?.
Wanakutaka wewe mkuu, kiongozi wako tayari wamemnasa that's why alishapokea mpunga, chanjo na ushauri kuwa afanye nini.Sasa wakimwona havai barakoa si watajua anaigiza kama alivyofanya kwenye royotua
Bwashee umesahau kuwa tumechukua pesa za wenyewe kwa ajili ya Corona? Tukizikula tu bila kufanya angalau maigizo utawaona watakavyogeuka rangi kwa hasira.Au anafanya mambo ili kufurahisha kundi fulani la watu?
Most of Oman residents are now vaccinated as per requirement, while in Tz it is optional n means 'risky'..... Abiria chunga mzigo wako....Oman hakuna corona wewe
Kwani si tulikubaliana kuwa hata tukichanjwa tusishikane? Si tulisema tuendelee kuvaa barakoa kama wajinga?Most of Oman residents are now vaccinated as per requirement, while in Tz it is optional n means 'risky'..... Abiria chunga mzigo wako....
Most of Oman residents are.....but not All of Oman residents are...Most of Oman residents are now vaccinated as per requirement, while in Tz it is optional n means 'risky'..... Abiria chunga mzigo wako....