dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
- Thread starter
- #161
Hapo ndio lilipo tatizo Mimi nina washangaa sana kulikataa jina la Nchi yenu ya Tanganyika ndio maana hata vyombo vyenu vya habari vinadanganya tena Kwa makusudi pale inapofika maadhimisho ya siku yenu ya Uhuru nakusema MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA wakati NI UHURU WA TANGANYIKAMimi ni pro Mkataba. Aliyetoa kauli ya ubaguzi ni Tundu Lisu. Unaowashutumu ni Watanzania wa Bara ambao umewaita Watanganyika. Kwa nini na wewe usiwekwe kwenye kundi la Wabaguzi?
Kumbuka nyinyi ni WATANGANYIKA na SIWEZI kuwa mbaguzi Kwa kukuiteni Kwa jina la asili ya Nchi yenu hata Mimi DAIMA najivunia jina la Nchi yangu
ZANZIBAR NCHI YANGU
ZANZIBAR FAKHARI YANGU