Suala la DP WORLD na chuki za Watanganyia dhidi ya Wazanzibar

Mimi ni pro Mkataba. Aliyetoa kauli ya ubaguzi ni Tundu Lisu. Unaowashutumu ni Watanzania wa Bara ambao umewaita Watanganyika. Kwa nini na wewe usiwekwe kwenye kundi la Wabaguzi?
Hapo ndio lilipo tatizo Mimi nina washangaa sana kulikataa jina la Nchi yenu ya Tanganyika ndio maana hata vyombo vyenu vya habari vinadanganya tena Kwa makusudi pale inapofika maadhimisho ya siku yenu ya Uhuru nakusema MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA wakati NI UHURU WA TANGANYIKA
Kumbuka nyinyi ni WATANGANYIKA na SIWEZI kuwa mbaguzi Kwa kukuiteni Kwa jina la asili ya Nchi yenu hata Mimi DAIMA najivunia jina la Nchi yangu

ZANZIBAR NCHI YANGU
ZANZIBAR FAKHARI YANGU
 
Narejea tena tatizo lenu ni wapigaji Sana jiulizeni toka 61 MNA nini cha maana ni rasilimali yenu gani mpaka SASA hivi iliyo wanyanyua KAZI wizi tuu
Wizi unafanyika mambo ya ndani, ujenzi n.k wanaongoza ni wazanzibar wenzako ni majizi ndiyo maana hayataki kuondoka huku kwetu
 
Bandari ni suala la Muungano.

..nimewahi kusikia kuwa bandari ni suala la muungano.

..lakini cha kushangaza ni kuwa kuna shirika la bandari la Zanzibar ni Mkurugenzi Mkuu wake huteuliwa na Rais wa Zanzibar.

..labda dhana kwamba bandari ni suala la muungano maana yake ni kwamba bandari za Tanganyika ni mali ya pamoja, wakati zile za Zanzibar ni mali ya Wazanzibari peke yao.

..Tanganyika tunastahili serikali yetu ili kila upande uwe na haki sawa ktk muungano.
 
Nyinyi msituzinguwe mambo ya muungano NI kumi na moja Tu
Kuna siku mtajua hamjui
 
Nyinyi msituzinguwe mambo ya muungano NI kumi na moja Tu
Kuna siku mtajua hamjui

..Ni vema mambo ya muungano yakapunguzwa.

..Pia kuwe na serikali 3. Serikali ya Tanganyika, ya Zanzibar, na serikali ya muungano.
 
Askali shoga wenu yule ni mtanganyika ?.
 
Hakuna mtanzania kipande, Hayo ni maneno ya mwalimu Nyerere.
 
Hakuna mtanzania kipande, Hayo ni maneno ya mwalimu Nyerere.

..hiyo habari kawaambie Wazanzibari kama watakuelewa.

..Waambie tuungane tuwe na serikali moja, uraia mmoja.

..Ni Nyerere ndiye aliyesababisha matatizo yote haya kwa kuipendelea Zanzibar na kuipunja na kuitweza Tanganyika.
 
Historia inazungumza kuwa, Watanganyika ndio wamkuwa wakiung'ang'ania huu Muungano since Day 1
 
Historia inazungumza kuwa, Watanganyika ndio wamkuwa wakiung'ang'ania huu Muungano since Day 1

..muungano wa aina hii unang'ang'aniwa na VIONGOZI wa Kitanganyika na Kizanzibari.

..kuna kikundi chenye nguvu lakini hakina hoja kinang'ang'ania muungano wa serikali 2.

..muungano ulio bora na utakaotenda HAKI ni muungano wa SERIKALI TATU.
 
chuki za watanganyika kwa waarabu ni out of this world , Ubaguzi ni laana kwa kweli
 
chuki za watanganyika kwa waarabu ni out of this world , Ubaguzi ni laana kwa kweli

..ndugu yangu hata akitokea Mtanganyika akasaini mikataba isiyoeleweka kwa niaba ya Wazanzibari lazima kutakuwa na makelele.

..mbona kuna Wazanzibar wanamuita Nyerere " laana tu la "? Je, sababu si ni mapinduzi na mkataba wa muungano ambao hawakubaliani nao?

..tusikimbilie kusema ni suala la chuki. Tujaribu kuangalia suala hili kwa mapana yake.

..huko nyuma Watanganyika walipinga mikataba mibaya ya wawekezaji toka Canada. Pia walipinga sheria mbaya za gesi na mafuta na wawekezaji walikuwa Wamarekani, na Wanorway.
 
Hakuna mahali popote katika jamii yoyote duniani mwanamke aliwahi wakomboa watu labda itakua mara ya kwanza Tanzania.
 
Unapokula na kipofu usimshike mkono
Wazenji huwa hawajiamini ni hadi wamuweke mtu mweupe mweupe mbele, wameedhirika na historia ya utumwa.

Mfano mwarabu hakai foleni zenji.
Kwenye kikao atatafutwa mwarabu japo teja akae meza ya mbele hata kama hajui aseme nini.
Kazi yoyote hawajiamini hadi wafanyiwe na mweupe (mwarabu au muhindi).

Wazenji hawajui kuiba, hubeba vyote mchana peupeee😂😂😂
 
Hujui kama wanyamwezi wenzio wanavuka maji kufata matibabu ya Bure ZANZIBAR?
Wazenji huwa hawajiamini ni hadi wamuweke mtu mweupe mweupe mbele, wameedhirika na historia ya utumwa.

Mfano mwarabu hakai foleni zenji.
Kwenye kikao atatafutwa mwarabu japo teja akae meza ya mbele hata kama hajui aseme nini.
Kazi yoyote hawajiamini hadi wafanyiwe na mweupe (mwarabu au muhindi).

Wazenji hawajui kuiba, hubeba vyote mchana peupeee😂😂😂
 
Nyamazaa lazima mtawaliwe na AKILI KUBWA tuna wajibuka kuwasimamia UCHUMI wenu ili kupunguza zigo lakuwabebeni HUKU
Labda akili kubwa ya kuchagua urojo mzuri. Phewwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…