neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Habari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa.
Sijui huko serikalini ni wapi wao hawaelewi?