neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMMARS wameuridhia ww ni nan upinge?Habari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa.
Sijui huko serikalini ni wapi wao hawaelewi?
Hakuna jipya.Habari wakuu,

KushakuchaHabari wakuu,

Mkuu mfadhaiko uliokupata ni sawa na ule wa Adam alioupsta katika bistani ya Edeni baada ya kujikuta kala pasipokujua tunda alilokatazwa kula na Muumba wake. Tunda litokanalo na mti wa maarifa ya kutambua mema na mabaya.Habari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa.
Sijui huko serikalini ni wapi wao hawaelewi?
Hawa chawa hawawezi kuridhia kwa niaba ya Taifa neverLord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMMARS wameuridhia ww ni nan upinge?
Tukiwaambia magufuli alikuwa anapambana na wahuni watu mnakuwa wabishi sasa hivyi wahuni wapo ikulu ndiyo mtajua amjui ....mkataba wa bandari ya bagamoyo haukuwa mchafu kuliko huu wa kumpa muarabu milele bandari zetu tena bure ....nikisema wazanzibar ni wahuni sijui kama mtanielewa huu ni mkataba wa wazanzibar na waarabuHabari wakuu,
Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu.
Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa.
Sijui huko serikalini ni wapi wao hawaelewi?
wenye kusaini wanasema ni makubaliano sio mkataba. Hii nchi kuna mazuzu hadi ngazi zinazoaminika.Habari wakuu,