Suala la elimu na likizo za watoto

Suala la elimu na likizo za watoto

Mambo ya kufundisha wakati wa likizo yameibuka miaka hii tu .Huyo mwalimu alikuwa wapi kucover topic zake tangu mwezi wa kwanza alipoandaa azimio lake?Kwa bahati mbaya sana hata walimu wa shule za serikali nao wameingia kwenye mkumbo huo wa kutoheshimu maagizo yanayotolewa na viongozi wao wakubwa wa elimu akiwemo kamishna wa elimu na waziri mwenye dhamana ya elimu kwamba shule zifungwe wanafunzi warefresh mind na walimu wapumzike
 
Baadhi ya walimu wana mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wa kike so kigezo cha kuonana nao kila siku ndio hicho
 
Kwanza serikali ingetoa agizo moja tu la kwamba shule zote zifungwe isiwepo loophole ya kwamba eti kama mmekubaliana na wazazi muendelee kwa sababu hakuna mzazi ambaye anaweza kupinga matakwa ya walimu kwenye vikao vya wazazi labda kama anataka kumtoa mwanae sadaka kwa sababu atanyanyaswa sana na walimu hasa pale atakapokosa swali lolote watasema wewe unakosaje wakati baba yako alisema hataki remedial
 
Mambo ya kufundisha wakati wa likizo yameibuka miaka hii tu .Huyo mwalimu alikuwa wapi kucover topic zake tangu mwezi wa kwanza alipoandaa azimio lake?Kwa bahati mbaya sana hata walimu wa shule za serikali nao wameingia kwenye mkumbo huo wa kutoheshimu maagizo yanayotolewa na viongozi wao wakubwa wa elimu akiwemo kamishna wa elimu na waziri mwenye dhamana ya elimu kwamba shule zifungwe wanafunzi warefresh mind na walimu wapumzike
Walimu na wazazi wanafuata maagizo ya wakuu wa mikoa
 
Back
Top Bottom