Suala la Feisal toto ni mgogoro wa Wachezaji wazawa!

Hili jambo tutaeleweshana hadi lini? Yanga na ma Feisal walishindwa kufikiana makubaliano kwenye suala la maboresho ya mkataba. Feisal kaangalia loop hole kwenye mkataba kaiona na kaitumiaa, tunatengeneza chuki. Unajaribu kufananisha situation ya Sadio Mane na Feisal una uhakika mikataba yao inafana?!
 
Mimi inshu yangu miwatu kulalamika kuwa anakipawa pesa ndogo tofauti na uwezo wake pamoja na kucompare na wengine,katika utetezi wangu nikaweka point zifuatazo;

1.Anacholipwa kipo kwenye mkataba na alisaini mwenyewe bila vitisho kama mshahara hautoshi kikiwa na haki ya kuomba kuongezewa muda ile au kutosaini kabisa na kujiunga kwenye maslahi mazuri.

2.Hata ulaya wapo wanaolipwa pesa kidogo ambayo watu wanaona ni tofauti na Kazi wanaoifanya na ni ndogo kulinganisha na wengine ambao sio muhimu.

Nb: Mimi suala la mkataba kama ana haki ya Kuvunja au la mimi sipo huko bali ninejikita zaidi kea wale wanaosema Yanga walikuwa wanyonyaji wakati ni suala la kimkataba na halipo Yanga pekee yake.
 
Labda ww ndo hujui halaand alilipwa bei gan,mbona iko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…