Watu wengi mbumbumbu mkuu ,kama Fei wakati anasaini kama hiyo M4 ni ndogo kwake si angekataa hapohapo na kuchagua maslahi sehemu nyingine ? hawajiulizi kuwa kiwango wakati anasaini mkataba mpya na sasa ni sawa ?
Tukija hata ulaya Mane alikuwa Key player Liverpool lakini alikuwa anazidiwa mshahara na mizigo wengi tu wakina Chamberlain umeona wapi Mane kulalamika wakati anajua alisaini mwenyewe ?Mane alisubiri mkataba wake wa awali kuisha kisha akaja na Dau jipya walivyokataa simple akasepa zake Bayern .
Hata Man U Herera alikuwa anizidiwa mshahara na wakina Smalling pamoja yeye kuwa muhimu na anajituma kushinda wao ,alichokifanya alisubiri mkataba wake uishe alivyoomba kuongezeka dau Man U walipigoma simple akasepa zake Psg.